Tume ya Haki Jinai: Kila Mtanzania awe na namba moja ya UTAMBUZI maisha yake yote

Tume ya Haki Jinai: Kila Mtanzania awe na namba moja ya UTAMBUZI maisha yake yote

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Akiwasilisha Mapendekezo mbele ya Rais Samia, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed O. Chande amesema kuwa tume inapendekeza Mifumo ya huduma za kijamii na kibiashara zifungamane na mfumo wa utambuzi wa usajili wa makazi, RITA, ardhi na NIDA ili kila Mtanzania awe na namba moja ya utambuzi kwa maisha yake yote.
 
Niliyawaza haya miaka mingi,

Kitambulisho kiwe kimoja tu, ukichanja unapewa option ya taarifa unayoitaka

1) uraia
2) Ajira
3) Makazi
4) Bima ya Afya
5) Uanachama wa chama cha siasa
6) Taarifa za mpiga kura
7) ..............
8).......//.
N.k
 
Back
Top Bottom