Tume ya haki jinai kwanini inafanya vikao kwa speed kubwa hivi? Au ndio wanatekeleza mapendekezo?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Tumewaona UDSM, jana walikuwa Ikulu na Kesho wapo Dodoma; wanawasilisha ripoti ile ile ambayo walitelekezwa wakae waweke utaratibu wa kuitekeleza.

Je, ni kwamba Watanzania awakuielewa siku imewasilishwa? Je, kwa mfumo wa sasa katika joto la DP World wataielewa au tusubiri DP world ipate muafaka?
 
Je, ni kwamba watanzania awakuielewa siku imewasilishwa? Je, kwa mfumo wa sasa katika joto la DP World wataielewa au tusubiri DP world ipate muafaka?
Series of episodes

Part 1,2......... up to 365

365 days per year,Each day one episode

Lets make people bz with nosense
 
Tumewaona UDSM, jana walikuwa Ikulu na Kesho wapo Dodoma; wanawasilisha ripoti ile ile ambayo walitelekezwa wakae waweke utaratibu wa kuitekeleza.

Je, ni kwamba Watanzania awakuielewa siku imewasilishwa? Je, kwa mfumo wa sasa katika joto la DP World wataielewa au tusubiri DP world ipate muafaka?
Kuzima kelele za DP World.
 
Itakiwa Suala La DP World Ndiyo Maana Vikao Tele Tena Live Radio Na Television
Watu Wamegoma Wapo Na Mkataba, Hiyo Haki Jinai Ingoje Kidogo
 
Let them fight….,
Masikio na akili ni zetu, hatuwezi kupangiwa cha kusikiliza…
Hoja muhimu kwa ustawi wa Taifa na vizazi vyetu ipo mbele yetu.
 
Back
Top Bottom