Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Series of episodesTumewaona UDSM, jana walikuwa Ikulu na Kesho wapo Dodoma; wanawasilisha ripoti ile ile ambayo walitelekezwa wakae waweke utaratibu wa kuitekeleza.
Je, ni kwamba watanzania awakuielewa siku imewasilishwa? Je, kwa mfumo wa sasa katika joto la DP World wataielewa au tusubiri DP world ipate muafaka?
Kuzima kelele za DP World.Tumewaona UDSM, jana walikuwa Ikulu na Kesho wapo Dodoma; wanawasilisha ripoti ile ile ambayo walitelekezwa wakae waweke utaratibu wa kuitekeleza.
Je, ni kwamba Watanzania awakuielewa siku imewasilishwa? Je, kwa mfumo wa sasa katika joto la DP World wataielewa au tusubiri DP world ipate muafaka?