Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Juzi nilimsikiliza mwenyekiti wa tume ya haki jinai akijibu mapigo baada ya tume hiyo kulalamikiwa, pamoja na kumsikiliza mpaka mwisho alichokuwa anakisoma kwa kubabaika, hakuna mahali alisoma mafafanikio waliyoyapata zaidi ya kutujulisha majukumu ya tume! Hii inamaana wako ofisini wanekaa wanapigiana simu kufanya vikao tu, ukweli tume hii haina faida kwa wananchi, ni hasara kwa walipa kodi.