Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ikiongozwa na Kamishna Nyanda Josiah Shuli leo Agosti 27, 2024 wamekutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wa Chama John Mnyika Makao Makuu ya Chadema yaliyopo Mikocheni, Dar Es salaam.
Agenda kuu ya mazungumzo ikiwa tukio la ukamataji wa wanachama na viongozi wa Chadema mkoani Mbeya, kuelekea maadhimisho ya siku ya vijana duniani Agosti 12, 2024.
Agenda kuu ya mazungumzo ikiwa tukio la ukamataji wa wanachama na viongozi wa Chadema mkoani Mbeya, kuelekea maadhimisho ya siku ya vijana duniani Agosti 12, 2024.