Pre GE2025 Tume ya Haki Jinai yakutana na Viongozi wa Chadema Makao Makuu Mikocheni

Pre GE2025 Tume ya Haki Jinai yakutana na Viongozi wa Chadema Makao Makuu Mikocheni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hiyo tume haina meno, leo nilikuwa namsikiliza mwenyekiti wa hiyo tume, niligundua ni tume ya kupima upepo tu lakini haina msaada wowote.
Ila imesaidia mpaka waziri wa mambo ya ndani kaitisha kikao Dodoma na mapolisi
 
Powa ila nilikuwa nauliza tu kama kuna Tume mbili tofauti? Hii ni ya Haki ya Jinai maana yake ni (Criminal Justice)na kazi yake ni nini ambayo yaifanywi na ile ya Haki za Binadamu.
Tume ya Haki Jinai ile ya akina Othman Chande ipo na hii ya Haki za Binadamu na Utawala Bora pia ipo, sijui zinatofautiana kwenye nini
 
Back
Top Bottom