Pre GE2025 Tume ya Haki Jinai yakutana na Viongozi wa Chadema Makao Makuu Mikocheni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ikiongozwa na Kamishna Nyanda Josiah Shuli leo Agosti 27, 2024 wamekutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wa Chama John Mnyika Makao Makuu ya Chadema yaliyopo Mikocheni, Dar Es salaam.

Agenda kuu ya mazungumzo ikiwa tukio la ukamataji wa wanachama na viongozi wa Chadema mkoani Mbeya, kuelekea maadhimisho ya siku ya vijana duniani Agosti 12, 2024.
 
Heading ni tofauti na contents. Tume ya Haki Jinai ni kitu kimoja na Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora ni kitu kingine!.

All and all, hii ni hatua muhimu sana kwa mganga kufuata mgonjwa, hivyo Tume imekuwa proactive rather than being reactive.

Huu ni mwanzo mzuri.
P
 
Ni Makosa ya uandishi tu, Wakubwa wanaweza kurekebisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…