PostGE2025 Tume ya Jaji Chande ilikuwa upigaji tu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Yaani tume imekaa na kupendekeza kwamba waunde tume nyingine. Muundo ni uke ule baada ya kula pesa za posho na ripoti imefichwa. Na hawa watasema iundwe tume nyingine
ICC wapo wanawapiga radar tu kwa mbali. Siku watakapofikia hitimisho kwamba mazafakas hawana mpango wowote wa kuwajibishana, wao wataliamsha sasa.
 
Yaani tume imekaa na kupendekeza kwamba waunde tume nyingine. Muundo ni uke ule baada ya kula pesa za posho na ripoti imefichwa. Na hawa watasema iundwe tume nyingine
Nashauri tujifunze kuwa na shukrani katika madogo, ili tujaaliwe katika makubwa!. Moja kati ya jakamoyo kubwa la October 29 ni idadi ya vifo, sisi washauri wa bure, tukatoa ushauri wa bure, Ushauri: Tangazeni idadi ya Vifo, na Ikibidi Hata Idadi ya Uongo tuu ili Wanyamaze!. Gazeti la “The Sun” limeiita Tanzania HOUSE OF BLOOD, Ripoti ilipotoka, ushauri huu ukazingatiwa, tukatangaziwa idadi ya vifo 518!, hili sii jambo dogo ni jambo kubwa linalostahili kuishukuru Tume badala ya kuilaumu, sisi wa shukrani tulishukuru PostGE2025 Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Imekidhi Haja Kutoa Idadi ya Vifo 518, ila Bado Haijakata Kiu!, Aliyetoa Amri Kutumia Za Moto ni Nani?!.

Kisha tukashauri Ripoti ya Jaji Chande ni hatua moja mbele, Imepooza Tu, Haijakata Kiu!. Kazi Bado Ipo!, Tunyamaze Tuu na Kusubiria, au Tuseme Kitu na Tufanye Kitu?

Ni wasio na jicho la tatu ndio mtamlaumu Jaji Chande kwa ripoti yake kutowekwa wazi, kwa sisi wa jicho la tatu tunajua fika kuwa PostGE2025 Jaji Chande, Alidhamiria Ripoti Yake Iwe Public. Kwa Vile Rais ni Wetu, Ripoti Yetu!, Kwa Heshma na Unyenyekevu Tumuombe Rais Samia Ripoti Yetu? Au... ila kuna mtu ameiatamia, hivyo sisi wasema ukweli bila kuogopa, tukamfikishia ujumbe aliyeiatamamia Wajua Japo ni Mkubwa Wetu, ni Mtumishi Wetu na Anafanya kwa Niaba Yetu! Je Tumuombe Kwa Unyenyekevu Ripoti Yake Iwe Public? Au Tufanye Uchunguzi Wetu?

Tusimlaumu Jaji Chande, Yeye alitumwa tuu, na aliyemtuma ni mtumishi wetu, hivyo ile ripoti ni ripoti yetu, kama sisi wenye ripoti, tumeshindwa kumuamuru mtumishi wetu atupe ripoti yetu, wenye matatizo sio Jaji Chande wlala aliyemtuma, wala aliyeiatamia bali ni sisi!, halafu tukiitwa mazwazwa na mazuzu, tunakasirika ati tumetukanwa!.

P
 
Usije kuambiwa wewe ndio mchochezi mwenyewe kama sio muhaini
 
Tushukuru wapigaji 😎 bro!?
 
Waongo kila mtu anajuwa ni zaidi sana ya watu wamefariki. Ripoti imefichwa na Mama yenu wa wapigaji
 
Tushukuru wapigaji 😎 bro!?
Kushukuru sio kusema asante, bali ni kuwa na moyo wa shukrani kwa whataver you get, no matter how little it is!, its being na gratitude, mfano risasi moja, iki lenga vital organs, ni kifo, Lissu kapigwa risasi 16 mwilini and none hit the vital organs, as a results he is a survival!, he should be grateful, he survived, he is alive, sisemi awashukuru kwa kukosea kulenga.

Sasa Bro unamshukuru nani hapo Tume au Mungu? Umeweka kwa mazingira ya Watanzania tushukuru tume ya Chande kwa lipi hasa? Tume ndiyo ishukuru Watanzania kwa kukubali kuibiwa pesa zao kwa tume ambayo imeendeleza siasa badala ya utaalamu yaani tume imetupia kazi tume nyingine!!!1. Mungu tunamshukuru kila siku lakini sio tume hizi za upigaji.

Kuhusu Lissu tunashukuru Mungu sio binadamu yeyote
 
Back
Top Bottom