PostGE2025 Tume ya Jaji Lila kuanza uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeanza rasmi maandalizi ya utekelezaji wa majukumu yake.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 24, 2026 jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Shaban Ali Lila, amesema Tume iko tayari kuanza kazi kwa kupokea ushahidi wa ana kwa ana, kukagua nyaraka na kutembelea maeneo yatakayotajwa kuhusika na matukio hayo.

Jaji Lila amesema Tume itazingatia sheria na kanuni za nchi katika ukusanyaji na uchambuzi wa taarifa zitakazowasilishwa.

Tume hiyo iliundwa na Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye ametoa wito kwa wananchi kuiamini na kushirikiana nayo katika utekelezaji wa jukumu hilo.

Soma pia
 
Hakuna la maana, mwisho wa siku watatuletea ripoti ile ile ya general summaries wakati wahusika wanajulikana.
 
Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeanza rasmi maandalizi ya utekelezaji wa majukumu yake.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 24, 2026 jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Shaban Ali Lila, amesema Tume iko tayari kuanza kazi kwa kupokea ushahidi wa ana kwa ana, kukagua nyaraka na kutembelea maeneo yatakayotajwa kuhusika na matukio hayo.

Jaji Lila amesema Tume itazingatia sheria na kanuni za nchi katika ukusanyaji na uchambuzi wa taarifa zitakazowasilishwa.

Tume hiyo iliundwa na Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye ametoa wito kwa wananchi kuiamini na kushirikiana nayo katika utekelezaji wa jukumu hilo.
Tume kabla haijaanza RAIS anaelekeza akina nani wakahojiwe! Shida kabisa hii
 
Hiyo Tume iende kwenye lile ghorofa la hospitali A, waulize Nani aliwapa kibali wale masniper kuua watu walikuwa chini. Walifanya hivyo nitaona wapo serious na kazi.
 
Nawaza tu ile mwitikio wa watu kwenye Tume ya Jaji Chande ulivyokuwa positive, kisha summary ya repoti ama hotuba ikawa vile na ripoti tukaambiwa sio public, hiyo nguvu inatoka wapi this time ya kwenda kutoa ushahidi ambao huenda nao tutaambiwa ni taarifa ya yangu niliyeunda tume yangu mwenyewe. Anyway muda utaongea
 
Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeanza rasmi maandalizi ya utekelezaji wa majukumu yake.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 24, 2026 jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Shaban Ali Lila, amesema Tume iko tayari kuanza kazi kwa kupokea ushahidi wa ana kwa ana, kukagua nyaraka na kutembelea maeneo yatakayotajwa kuhusika na matukio hayo.

Jaji Lila amesema Tume itazingatia sheria na kanuni za nchi katika ukusanyaji na uchambuzi wa taarifa zitakazowasilishwa.

Tume hiyo iliundwa na Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye ametoa wito kwa wananchi kuiamini na kushirikiana nayo katika utekelezaji wa jukumu hilo.
Naomba nitoe maoni yangu mwanzo kabisa kwamba Tume inatakiwa itambue walioshika silaha siku hile ndio watenda jinai, maana tume iliyopita ilitoa takwimu za vifo kwa kutumia siraha za moto, japokuwa haikutoa zilikuwa ni siraha za polisi.

Tuwe makini na kinachojaribiwa kjtengenezwa hapa
 
Watu wajitokeze ili muwateke thubutu, ripoti mali ya rais au siyo.
 
Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeanza rasmi maandalizi ya utekelezaji wa majukumu yake.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 24, 2026 jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Shaban Ali Lila, amesema Tume iko tayari kuanza kazi kwa kupokea ushahidi wa ana kwa ana, kukagua nyaraka na kutembelea maeneo yatakayotajwa kuhusika na matukio hayo.

Jaji Lila amesema Tume itazingatia sheria na kanuni za nchi katika ukusanyaji na uchambuzi wa taarifa zitakazowasilishwa.

Tume hiyo iliundwa na Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye ametoa wito kwa wananchi kuiamini na kushirikiana nayo katika utekelezaji wa jukumu hilo.
Mzaha siyo Mzaha??
 
Tume ni ya Rais na riport ni mali binafsi ya Rais sasa wanatwambia wananchi ya kazi gani hapo serikali ndo inapojichanganya wanatutangazia ya nini ayo?
 
Back
Top Bottom