Tume ya Jinai ya maandamano ya 29/10 inaenda kutupatia Tanganyika

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Tume inaenda kuzua taharuki kubwa ambayo hatujawahi kuiona nchini ukiondoa ile ya uhujumu uchumi miaka ya 80.

Belive me or not matokeo ya tume yanaenda kuzalisha vikundi vya uasi kama M23 vitakavyopambana na serikali kudai Tanganyika.

Tume haitaangalia wewe ni mpinzani hasa Chadema au wewe ni CCM, bali itaangalia wewe ni threat kiasi gani kwa watawala.

Tume inaenda kuja na visasi kwa wanasiasa, kisasi kwa wafanyabiashara, kisasi kwa wanaharakati, kisasi kwa dini na viongozi wa dini, itakuja na visasi kwa wanataaluma, kisasi kwa taasisi kama TLS, kisasi kwa vyombo vya habari, kisasi kwa matajiri wasio upande wa watawala.

Kila kikundi au mtu aliyeonekana au anayeonekana kukwamisha mipango ya urais 2030 atafikiwa na kuhusishwa na maandamano ya 29/10.

Hizo ndizo TOR ilizopewa tume hawaangalii eti nani alihusika but nani ni threat kwao, ni tume ya kisasi.

Nchimbi, Lissu na Mwabukusi (TLS) ni moja tu ya wahanga kuna wengi ndani ya chama na serikali watakaotolewa kafara.

Watu wataonewa sana lkn kuna kundi la watu hawatakubali kuonewa wataungana na kuanza kupambana kama kina Joseph Kabila wa Kongo.

Tujiandae kwa maumivu kabla ya kuipata Tanganyika.
 
Tume inaenda kuja na kisasi kwa wanasiasa, kisasi kwa wafanyabiashara, kisasi kwa wanaharakati, kisasi kwa dini na viongozi wa dini, itakuja na visasi kwa wanataaluma, kisasi kwa taasisi kama TLS, kisasi kwa matajiri wasio upande wa watawala.

Kila kikundi au mtu aliyeonekana au anayeonekana kukwamisha mipango ya urais 2030 atahusishwa na maandamano ya 29/10.

Nchimbi ni mmoja tu wa threat waliyoiona kuna wengi ndani ya chama na serikali watakaotolewa kafara.

Matokeo ya tume ndiyo yanaenda kuzalisha na kuunda upinzani halisi wa ndani na nje ya chama na serikali utakaopambana kudai Tanganyika.

Ni maoteo au uhalisia?!😇
 
ok. :1Head:
 
Waliosema uchaguzi hautofanyika tutakinukisha,aisee wasibaki uraiani,hata kama ni viongozi wa dini,na kile chama cha kugawa taifa,kujaza chuki watu na matusi kifutwe

Then ndio ela za El Nino zitarudi?
Au ndio daraja la bilion 21 litakuwa flying over?

Au ww na familia yako mtapata chakula cha bure?

No wonder wazungu wanatuita nyani
 
Waliosema uchaguzi hautofanyika tutakinukisha,aisee wasibaki uraiani,hata kama ni viongozi wa dini,na kile chama cha kugawa taifa,kujaza chuki watu na matusi kifutwe
Ba waliosema hakutakuwa na nywu nywu nywu wala bwi nywi nywi....!?
 
Hii tume isiposema polisi waliua raia, na kutomtaja aliyeamuru waue. Itaambulia nyimbo za matusi kama tume ya Chande, hata kama itawataja ccm waliohudika. Kwa sababu yale mauaji yalikuwa live kama match ya mpira, watu walishudia yaliyofanyika hizo blabla zingine zitakuwa hadithi za paukwa pakawa.
 
Ndo vizuri ili ipatikane Tanganyika kila mmoja atulie na kwao..!!
 
Hatuna shida na kelele za kupinga kila kitu, Burkina Faso hakuna vyama na mambo yanaenda,hao wascenge wakatafute kazi za kufanya
Burkina Faso kazi inafanyika na hakuna mambo ya kunyanyasa na kupoteza watu
 
Tume inaenda kuzua taharuki kubwa ambayo hatujawahi kuiona nchini ukiondoa ile ya uhujumu uchumi miaka ya 80.

Belive me or not matokeo ya tume yanaenda kuzalisha vikundi vya uasi kama M23 vitakavyopambana na serikali kudai Tanganyika.

Tume haitaangalia wewe ni mpinzani hasa Chadema au wewe ni CCM, bali itaangalia wewe ni threat kiasi gani kwa watawala.

Tume inaenda kuja na visasi kwa wanasiasa, kisasi kwa wafanyabiashara, kisasi kwa wanaharakati, kisasi kwa dini na viongozi wa dini, itakuja na visasi kwa wanataaluma, kisasi kwa taasisi kama TLS, kisasi kwa vyombo vya habari, kisasi kwa matajiri wasio upande wa watawala.

Kila kikundi au mtu aliyeonekana au anayeonekana kukwamisha mipango ya urais 2030 atafikiwa na kuhusishwa na maandamano ya 29/10.

Hizo ndizo TOR ilizopewa tume hawaangalii eti nani alihusika but nani ni threat kwao, ni tume ya kisasi.

Nchimbi, Lissu na Mwabukusi (TLS) ni moja tu ya wahanga kuna wengi ndani ya chama na serikali watakaotolewa kafara.

Watu wataonewa sana lkn kuna kundi la watu hawatakubali kuonewa wataungana na kuanza kupambana kama kina Joseph Kabila wa Kongo.

Tujiandae kwa maumivu kabla ya kuipata Tanganyika.
Tume inaenda kuzua taharuki kubwa ambayo hatujawahi kuiona nchini ukiondoa ile ya uhujumu uchumi miaka ya 80.

Belive me or not matokeo ya tume yanaenda kuzalisha vikundi vya uasi kama M23 vitakavyopambana na serikali kudai Tanganyika.

Tume haitaangalia wewe ni mpinzani hasa Chadema au wewe ni CCM, bali itaangalia wewe ni threat kiasi gani kwa watawala.

Tume inaenda kuja na visasi kwa wanasiasa, kisasi kwa wafanyabiashara, kisasi kwa wanaharakati, kisasi kwa dini na viongozi wa dini, itakuja na visasi kwa wanataaluma, kisasi kwa taasisi kama TLS, kisasi kwa vyombo vya habari, kisasi kwa matajiri wasio upande wa watawala.

Kila kikundi au mtu aliyeonekana au anayeonekana kukwamisha mipango ya urais 2030 atafikiwa na kuhusishwa na maandamano ya 29/10.

Hizo ndizo TOR ilizopewa tume hawaangalii eti nani alihusika but nani ni threat kwao, ni tume ya kisasi.

Nchimbi, Lissu na Mwabukusi (TLS) ni moja tu ya wahanga kuna wengi ndani ya chama na serikali watakaotolewa kafara.

Watu wataonewa sana lkn kuna kundi la watu hawatakubali kuonewa wataungana na kuanza kupambana kama kina Joseph Kabila wa Kongo.

Tujiandae kwa maumivu kabla ya kuipata Tanganyika.
Ili taifa lipone hakuna budi hata kupitia magumu yasiyosemeka,ila kwa haki na ikilazimu kwa kuidai haki.
 
Back
Top Bottom