Safi, wote ndani ili wabaki waimba mapambio ya mama.Waliosema uchaguzi hautofanyika tutakinukisha,aisee wasibaki uraiani,hata kama ni viongozi wa dini,na kile chama cha kugawa taifa,kujaza chuki watu na matusi kifutwe
Hatuna shida na kelele za kupinga kila kitu, Burkina Faso hakuna vyama na mambo yanaenda,hao wascenge wakatafute kazi za kufanyaSafi, wote ndani ili wabaki waimba mapambio ya mama.
Umesema hamtaki watu wa matusi haijapita hata sekunde unatukana.Hatuna shida na kelele za kupinga kila kitu, Burkina Faso hakuna vyama na mambo yanaenda,hao wascenge wakatafute kazi za kufanya
Siyo tusi,ni mtu anayefanya kinyume na adaUtetezi wako ni wa ******* sana na wewe ni msenge
NB kwa Mujibu wako msenge sio tusi kwa hiyo sijatukana
Ni maoteo au uhalisia?!😇Tume haitaangalia wewe ni mpinzani hasa Chadema au wewe ni CCM, bali itaangalia wewe ni threat kiasi gani kwa watawala.
Tume inaenda kuja na kisasi kwa wanasiasa, kisasi kwa wafanyabiashara, kisasi kwa wanaharakati, kisasi kwa dini na viongozi wa dini, itakuja na visasi kwa wanataaluma, kisasi kwa taasisi kama TLS, kisasi kwa matajiri wasio upande wa watawala.
Kila kikundi au mtu aliyeonekana au anayeonekana kukwamisha mipango ya urais 2030 atahusishwa na maandamano ya 29/10.
Nchimbi ni mmoja tu wa threat waliyoiona kuna wengi ndani ya chama na serikali watakaotolewa kafara.
Matokeo ya tume ndiyo yanaenda kuzalisha na kuunda upinzani halisi wa ndani na nje ya chama na serikali utakaopambana kudai Tanganyika.
Tujiandae kwa maumivu kabla ya kuipata Tanganyika.
Acha na hilo lizee li fala bado miaka kumi lifike stiniUtetezi wako ni wa ******* sana na wewe ni msenge
NB kwa Mujibu wako msenge sio tusi kwa hiyo sijatukana
ok.Tume haitaangalia wewe ni mpinzani hasa Chadema au wewe ni CCM, bali itaangalia wewe ni threat kiasi gani kwa watawala.
Tume inaenda kuja na kisasi kwa wanasiasa, kisasi kwa wafanyabiashara, kisasi kwa wanaharakati, kisasi kwa dini na viongozi wa dini, itakuja na visasi kwa wanataaluma, kisasi kwa taasisi kama TLS, kisasi kwa matajiri wasio upande wa watawala.
Kila kikundi au mtu aliyeonekana au anayeonekana kukwamisha mipango ya urais 2030 atahusishwa na maandamano ya 29/10.
Nchimbi ni mmoja tu wa threat waliyoiona kuna wengi ndani ya chama na serikali watakaotolewa kafara.
Matokeo ya tume ndiyo yanaenda kuzalisha na kuunda upinzani halisi wa ndani na nje ya chama na serikali utakaopambana kudai Tanganyika.
Tujiandae kwa maumivu kabla ya kuipata Tanganyika.
Waliosema uchaguzi hautofanyika tutakinukisha,aisee wasibaki uraiani,hata kama ni viongozi wa dini,na kile chama cha kugawa taifa,kujaza chuki watu na matusi kifutwe
Ba waliosema hakutakuwa na nywu nywu nywu wala bwi nywi nywi....!?Waliosema uchaguzi hautofanyika tutakinukisha,aisee wasibaki uraiani,hata kama ni viongozi wa dini,na kile chama cha kugawa taifa,kujaza chuki watu na matusi kifutwe
Sio kweli mkuu.Kisengele nyuma maana yake kinyumenyume, uscenge wala si tusi,mnatumia vibaya tu,ni kama neno 'mitombo ya tumbo' lenye maana ya tumbo kusukasuka
Burkina Faso kazi inafanyika na hakuna mambo ya kunyanyasa na kupoteza watuHatuna shida na kelele za kupinga kila kitu, Burkina Faso hakuna vyama na mambo yanaenda,hao wascenge wakatafute kazi za kufanya
Tume inaenda kuzua taharuki kubwa ambayo hatujawahi kuiona nchini ukiondoa ile ya uhujumu uchumi miaka ya 80.
Belive me or not matokeo ya tume yanaenda kuzalisha vikundi vya uasi kama M23 vitakavyopambana na serikali kudai Tanganyika.
Tume haitaangalia wewe ni mpinzani hasa Chadema au wewe ni CCM, bali itaangalia wewe ni threat kiasi gani kwa watawala.
Tume inaenda kuja na visasi kwa wanasiasa, kisasi kwa wafanyabiashara, kisasi kwa wanaharakati, kisasi kwa dini na viongozi wa dini, itakuja na visasi kwa wanataaluma, kisasi kwa taasisi kama TLS, kisasi kwa vyombo vya habari, kisasi kwa matajiri wasio upande wa watawala.
Kila kikundi au mtu aliyeonekana au anayeonekana kukwamisha mipango ya urais 2030 atafikiwa na kuhusishwa na maandamano ya 29/10.
Hizo ndizo TOR ilizopewa tume hawaangalii eti nani alihusika but nani ni threat kwao, ni tume ya kisasi.
Nchimbi, Lissu na Mwabukusi (TLS) ni moja tu ya wahanga kuna wengi ndani ya chama na serikali watakaotolewa kafara.
Watu wataonewa sana lkn kuna kundi la watu hawatakubali kuonewa wataungana na kuanza kupambana kama kina Joseph Kabila wa Kongo.
Tujiandae kwa maumivu kabla ya kuipata Tanganyika.
Ili taifa lipone hakuna budi hata kupitia magumu yasiyosemeka,ila kwa haki na ikilazimu kwa kuidai haki.Tume inaenda kuzua taharuki kubwa ambayo hatujawahi kuiona nchini ukiondoa ile ya uhujumu uchumi miaka ya 80.