Mwenyekiti wa Tume ya mabadiliko ya Katiba mpya Jaji Warioba amesema kama tume hawatapokea maoni ya majukwaani yanayohubiriwa na wanasiasa.
Badala ya vyama kuzungumzia matatizo mbalimbali wamejikita kuhhubiri maoni ya katiba kwa wananchi. "Sasa hivi tumepata uzoefu, tutajua haya ni mawazo ya mtu wa kawaida au ametumwa na mwanasiasa" amesema Warioba.
Source: ITV