Tume ya Katiba: Hatutapokea maoni ya majukwaani

Tume ya Katiba: Hatutapokea maoni ya majukwaani

Lilambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
2,523
Reaction score
207
Mwenyekiti wa Tume ya mabadiliko ya Katiba mpya Jaji Warioba amesema kama tume hawatapokea maoni ya majukwaani yanayohubiriwa na wanasiasa.

Badala ya vyama kuzungumzia matatizo mbalimbali wamejikita kuhhubiri maoni ya katiba kwa wananchi. "Sasa hivi tumepata uzoefu, tutajua haya ni mawazo ya mtu wa kawaida au ametumwa na mwanasiasa" amesema Warioba.

Source: ITV
 
Hakika huyu mzee ameamua kutumia akili zake ipasavyo. Wanasiasa wanataka kuuchafua mchakato wa katiba. Hasa Ccm ikifuatiwa na Cdm.
 
Wanatuharibia katiba yetu, wamekuwa wakizunguka majukwaani kuhubiri wananchi kutoa maoni yenye maslahi kwa vyama vyao.
 
NAUNGA MKONO KAMA MWANANCHI WA KAWAIDA. WANANCHI TUMEONGEA (THE PEOPLE HAVE SPOKEN). KUONDOA AU KUBADILI KILICHOMO NDANI YA RASIMU NI KUDHOOFISHA DHANA KWAMBA TUTAKUWA NA KATIBA INAYOTOKANA NA WANANCHI WAKATI NIA NI KATIBA ITOKANE NA WANANCHI KWA AJILI YA WANANCHI WA LEO NA KESHO NA SIYO YA KULINDA MASLAHI YA MTU AU KUNDI FULANI. kINACHOTAKIWA SASA NI MCHANGO KUHUSU VITU VIWILI TU:
1. Jambo muhimu lililosahaulika
2. Namna ya kuboresha yaliyo ndani ya rasimu ya katiba bila kubadirisha lengo kuu
 
Back
Top Bottom