Kama pasaka kwa mkatoliki muhimu kuliko katiba sasa wengine wafanyeje. Ijumaa wenzetu siku yao ya sala ila ni siku ya kazi sasa wewe mkatoliki nenda kasali sisi tutaendelea na mchakato.
Mtu unapokuwa na Udini unakuwa kipofu. Hata mambo ambayo ni wazi kabisa huyaoni. Inaelekea hata uelewa wa dini ni mdogo. Acha Udini na pia acha kujikweza. Mfuasi yeyote wa Yesu Kristo anatunza matukio yote ya Pasaka. Katiba haina uhusiano na hujuma kwa Wakatoliki wala thread yako haina mshiko heri upokee ushauri wa wenzio kuliko kuwa mbishi.