kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Kama pasaka kwa mkatoliki muhimu kuliko katiba sasa wengine wafanyeje. Ijumaa wenzetu siku yao ya sala ila ni siku ya kazi sasa wewe mkatoliki nenda kasali sisi tutaendelea na mchakato.akili yako ndogo sana.ni waanglikana tuu wanaotambua siku hizo ukiwaacha wakatoliki