Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

Aisee, hii style ya ajabu sana. Kule TANROAD na TARURA kila mtumishi ni Eng. .....Wengine wameibuka eti Arch... Ajabu tu!!
 
We
Initial ya academic status kwenye jina la mtu hasa Tanzania ni matokeo ya elimu ya vyeti na weledi zero.
Weledi wapo ila wachache wamemezwa na hawa wenye weledi zero, Yani sawa na kuweka maji baridi kipimo cha lita 100 kwenye ziwa lenye lita 1M kuchanganya pamoja
 
Mmh. Form 6 mbali hivyo?hata wa standard 5(Primary) anafanya mtaalam.
Anza kujiandaa kufanya kazi nyingine usije sema hukuambiwa..machine itahitaji karani anayefahamu abcd za uhasibu then yenyewe itafanya kile organization inataka hata kufanya analysis..tafuta hiki kitabu ACCOUNTING DISRUPTED, HOW DIGITIZATION IS CHANGING FINANCE..akili itakukaa sawa hutaleta hizo kebehi za kutokujua unakotoka na unakoenda.
 
Machine za nini tena?Uhasibu/ukarani hauna ugumu wowote ule hata mtoto wa primary anafanya.
 
Na mimi nitajiita CBE...FIELD MARSHALL
 
wazungu utaona kwenye utendaji wao hapa kwetu utendaji zero ili ujue kama amesoma lzm akuambie au aandike kwenye jina namna hiyo.mfano ni mchumi namba Moja.
Mfano, wazungu wakiweka hizo title utaona sawa na watanzania kuziweka?? Kwa maana ya mzungu akifanya jambo basi wengine mkiiga inakua haina shida kabisa?
 
CPA(T). Octavian Barnabas
Mkaguzi Mkuu Wa Ndan, TTCLi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…