Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

Kwa wao kuandika hizo Cpa mbele ya majina yao,naomba unitajie sheria waliyovunja?
Unaelekezwa nenda kwa cpa top gear ndo amehold cheque yako anaenda kwa cpa top gear analeta janja janja ili apate kakitu kadogo baada ya hapo kila ukiona cpa so and so unaona ni tatizo.
 
Jenga hoja yenye element za legislative legal Drafting kwanini Sheria ibadilishwe na siyo hisia tu Kwa sababu ya generalization na possible chuki zako binafsi Kwa Makala.Nini athari za ku- maintain status quo na nini faida ya Hilo badiliko unalopendekeza?
Kwa hiyo wewe kipofu hujaona hoja hapo? Nikusaidieje CPA Gamboshi
 
Ni mara chache au kama sio zote kumkuta wakili anaanza kujiita Adv. ABCD, ila hao watu wa CPA na wahandisi, wanapenda sana. Lakini sio kesi, wamepambania taaluma hizo acha wajiite watakavyo
Wamepambania wakati hii ni moja ya dying profession, accounts kwa sasa haihitaji mtu wa cpa kuandaa taarifa, ni kazi ya dk 5 tu inafanyika..ni mbwembwe tu hazina maana yoyote, wala thamani ya maarifa si title!
 
Kwa hiyo wewe kipofu hujaona hoja hapo? Nikusaidieje CPA Gamboshi
Acha kuruka ruka, leta hoja ambayo ni substantive kisheria Kwa Legislative Legal Drafters ,inayokidhi justification ya Amendment ya Sheria husika .Nimekueleza Ili ufanye ku-repeal au ku- Amend Sheria inatakiwa Uje na hoja ya kuonyesha athari mbaya za ku- maintain Status Quo au Justification ya Faida ya kufanya hizo amendment.Tuambie Kwa Mhasibu kuweka ' CPA' mbele ya Jina lake inakukera Nini na Ina athari gani kwako na society at large,vinginevyo utakuwa na matatizo mengine ambayo sidhani hii forum itakusaidia kuyatatua
 
Wamepambania wakati hii ni moja ya dying profession, accounts kwa sasa haihitaji mtu wa cpa kuandaa taarifa, ni kazi ya dk 5 tu inafanyika..ni mbwembwe tu hazina maana yoyote, wala thamani ya maarifa si title!
Kwamba kazi ya mhasibu ni kuandaa taarifa pekee?
 
Kila kukicha TANZANIA haikosi vituko.

Tume ya madini tuambieni mtumishi jina kuanza na neno CPA, ni nini maana yake na kirefu chake ni nini.

Mfano ni huu hapa👇wa watumishi wa Tume ya Madini.

1. CPA. William E. Mtinya
Director, Corporate Services Department.

2. CPA. Elikana P. Buremo
Director, Internal Audit Unit.

3. CPA. Mwagule D. Ikunga
Manager, Finance and Accounts Section.

Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere , Huwa haitumii hizio initial, kwenu huko tume ya madini ni mabosi wa CAG?

Hii imetupa taharuki, na mambo yakienda hivi , Kuna siku utumishi wa umma ,utakuwa ni kijiamulia kuchagua cheo cha kujiita.
Acha wivu watu wameingia darasani hao.
 
Limbukeni No 1.png

His Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, CBE, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular
 
Kila kukicha TANZANIA haikosi vituko.

Tume ya madini tuambieni mtumishi jina kuanza na neno CPA, ni nini maana yake na kirefu chake ni nini.

Mfano ni huu hapa👇wa watumishi wa Tume ya Madini.

1. CPA. William E. Mtinya
Director, Corporate Services Department.

2. CPA. Elikana P. Buremo
Director, Internal Audit Unit.

3. CPA. Mwagule D. Ikunga
Manager, Finance and Accounts Section.

Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere , Huwa haitumii hizio initial, kwenu huko tume ya madini ni mabosi wa CAG?

Hii imetupa taharuki, na mambo yakienda hivi , Kuna siku utumishi wa umma ,utakuwa ni kijiamulia kuchagua cheo cha kujiita.
Achana na hao, pia tuna Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Komredi CPA Amos Makalla! Ahahahahaha!!!
 
Back
Top Bottom