Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Watu wamekalilishwa tu kua kila Dr, CPA, Eng basi ni za kununua au za mchongo wakati watu wamezisotea miaka kibao darasani.Marekani Gani unayozungumzia Dunia Nzima CPA..Lazma watambulishwe Kwa Initial Aidha kwa kuandikwa mwanzo mwa Jina au Mwisho wa Jina..
Marekani wanatumia Mfumo wa Kuandika mwisho wa Jina kama Daktari anavyoandikwa..
Freddie matuja,CPA
Freddie matuja, MD
Ila sio mwanzo kama Uandishi wa Bristish
Dr Freddie Matuja
CPA freddie Matuja.
Tanzania Inafuata Mfumo wa British..
Mtu Accountant halafu bado anakengeuka nyongo jamaa kuipambania CPA yake, bongo nyoso aisee.
Watu wana wivu wa kipumbavu sana.
