T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Unamdanganya nani. Condoleezza Rice ni Professor ana elimu chungu nzima hadi kaenda Moscow kasoma Kirusi, hakuna sehemu ofisi yake, serikali, waandishi wa habari Marekani wanaandika title yake kwa kutaja uprofesa wakeMarekani Gani unayozungumzia Dunia Nzima CPA..Lazma watambulishwe Kwa Initial Aidha kwa kuandikwa mwanzo mwa Jina au Mwisho wa Jina..
Marekani wanatumia Mfumo wa Kuandika mwisho wa Jina kama Daktari anavyoandikwa..
Freddie matuja,CPA
Freddie matuja, MD
Ila sio mwanzo kama Uandishi wa Bristish
Dr Freddie Matuja
CPA freddie Matuja.
Tanzania Inafuata Mfumo wa British..
Sisi hapa mmiliki wa kikundi cha wanenguaji akiwa mbunge kwa kigezo cha kujua kusoma na kuandika (Kiswahili na kilugha pekee, hakuna lugha nyingine), baada ya miaka mitatu anaitwa Dk. Taletale.