Hayo mambo muwe mnawadanganya watoto wenu wa nursery school siyo sisi maku weweNimekwisha mpa Soma Comments no 23..
Unaendeleaje MBWA..
Sasa sjui Ni BullDog au Ni G.Shepherd
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo mambo muwe mnawadanganya watoto wenu wa nursery school siyo sisi maku weweNimekwisha mpa Soma Comments no 23..
Unaendeleaje MBWA..
Sasa sjui Ni BullDog au Ni G.Shepherd
Katika Majina niliyotuma Linkedn ni Moja tu tena ya Mwishoni..Mkuu, ni prof qualification. Inatumika kuombea ajira au tenda. Hizo linkedin na page zinazoonyesha portfolio za watendaji ni sehemu rasmi za kuombea kazi au tenda au utambulisho wa waajiriwa. Ila again, binafsi sioni tatizo mtu akijipachika hayo majina hata akiwa anatambulishwa msibani.
Diploma Mambo Jambo. Hii ipo sawa?Nimeshaeleza Hili kwenye Post no 10 kaisome kwanza
Marekani Gani unayozungumzia Dunia Nzima CPA..Lazma watambulishwe Kwa Initial Aidha kwa kuandikwa mwanzo mwa Jina au Mwisho wa Jina..
Marekani wanatumia Mfumo wa Kuandika mwisho wa Jina kama Daktari anavyoandikwa..
Freddie matuja,CPA
Freddie matuja, MD
Ila sio mwanzo kama Uandishi wa Bristish
Dr Freddie Matuja
CPA freddie Matuja.
Tanzania Inafuata Mfumo wa British..
Kwamba Diploma Ikae mwanzo mwa jina?Diploma Mambo Jambo. Hii ipo sawa?
Kama Dr zinauzwa, kwa nini yenyewe isiuzwe?
Mkuu Unajua maana Ya Mfano???Acha uongo. Kwanza British hawatumiki CPA.
Tofauti na qualified Accountants wa USA, British wanatumia CA, Chartered Accountant. Hivyo kusema British wanatumia CPA kama title ni upotoshaji.
Hapa ni ofisi za umma? Hizi si ni platforms za kuombea kazi na kutafuta wateja kwenye field husika. Sasa sisi hapa bongo kwenye ufunguzi wa vyoo vya stendi, kiongozi wa serikali anatajwa kama Advocate utadhani kuna kesi pale stendi. Na tukienda kukagua mafuriko, kiongozi anaitwa CPA utadhani mahesabu ya biashara yanafanyika.UMeona hawa wamerakani Wameandikwaje?
niyo Ni nini CPA??
View attachment 2965717
View attachment 2965718View attachment 2965718
View attachment 2965719
View attachment 2965720
Unataka Nikuongeze Mkuu
Ndio msingi wa hoja yangu, hapa kwetu PhD holder mmoja anadai ni msomi anataka tuhamie Burundi. Ila ukimuuliza ukuaji wa uchumi, anataja gari mikweche namba E ni nyingi na kufanyika kwa harusi nyingi mtaani. Anapima uchumi kwa nyege za watu.Na condoleezza ana only PhD..
Na PhD mara nyingi kwa marekani na Mataifa Mengi Hawaipi Umuhimu wa Initial wala Preffix
Alafu Dr. na CPA ndio big deal si ndio?Proffesor its not a Big deal Here in USA
Marehemu baba yangu alisomea acca miaka ya sabini mwanzoni mpaka miaka ya 80 mwanzoni alikuwa fellowship Ila sikuwahi kuona akijitambulisha na hizo initial.Wala sio case mkuu.
Nipe Makala au jarida lolote linalomtambulisha mtaalam wa uhasibu iwe USA au UK (kwenye ACCA) ambapo utambulisho wa mhusika unakuwa sawia na maelezo yako.
Mkuu Unajua maana Ya Mfano???
Ningeweza Kuandima CA ila nimetoa mfano..
Ili kuonyesha na kutofautisha Preffux na initial baina ya Nchi..
Na ndo maana umeona nimeonyesha Mpaka kada nyingine hapo
Professional qualifications haijakaa kama title, imekaa kama qualification japo ukiwa una CPA hukatazwi kuitwa CPA so and so sema imekaa kindezi mno tofauti na ukiwa na Phd ukaitwa Dr.Kwamba Diploma Ikae mwanzo mwa jina?
Kuna Vitu unatakiwa kujua Kuna Qualification na Proffesionalism..
Kwa mfano Engeneer Ni Proffesional Ila Qualification yake ni Aitha civil au masomo mengine yanayoHusu engeneer..
Preffix haitambulishi Qualification Bali inatambulisha Proffesionalism..
Kumbuka Mwanasheria Hawezi kuitwa Advocate mpaka awe ni Amesoma Law school..
So proffesionalism ndo hutambulishwa na Eidha Preffix ama surffix..
Kwa Mfano Huwezi Kuandika MMED (Paed) Mambo jambo..
Hii Ni qualification..
Ila utaandika Kama proffesional..
Mambo jambo,MMED,MD (Kwa mfumo wa Marekani)
Ila kwa Mfumo wa Bristish Utaandika Dr Mambo Jambo
Nikiona wale wamejiwekea hivi huwa aibu naona mimi, tena unakuta mtu akimaliza tu chuo, anaweka hivi kwenye cv yake 😀Tanzania kuna mambo ya ajabu sana, kama Adv., Arch. Eng. CPA, Dr (za mchongo kama za wabonge baadhi)
Hili Nimeliezea Kwa Marekani Mfumo wa kitaaluma Utatambisha Taaluma yako mwishoni mwa Jina lako..Alafu Dr. na CPA ndio big deal si ndio?
Tittle ya mtu ni deal kwenye field yake. Marekani hawawezi kuwa wanacheza gofu, Daktari Mambo Jambo akaitwa Dr., ataitwa Bwana Mambo Jambo. Uku Tanzania hata ukifuma watu wanajisaidia vichakani kama ni madokta bado watataka waitwe kwa vyeo vyao.
Ukiwa na PhD Nchi nyingi sana Huitwi Dr..Professional qualifications haijakaa kama title, imekaa kama qualification japo ukiwa una CPA hukatazwi kuitwa CPA so and so sema imekaa kindezi mno tofauti na ukiwa na Phd ukaitwa Dr.
Marehemu baba yangu alisomea acca miaka ya sabini mwanzoni mpaka miaka ya 80 mwanzoni alikuwa fellowship Ila sikuwahi kuona akijitambulisha na hizo initial.
Ni ushamba tu wa wasomi wa siku hizi.
Baadae unamkuta kwenye hardware ya mangi analipwa zake laki mbili na nusu jioni anavaa zake begi lake la CPA anarudi nyumbani. Hapo ana miaka 35. Ndo maisha.Nikiona wale wamejiwekea hivi huwa aibu naona mimi, tena unakuta mtu akimaliza tu chuo, anaweka hivi kwenye cv yake 😀
Bado inapendeza. Mambo Jambo, PhD. Hata Mambo Jambo, CPA inapendeza. Ila CPA Mambo Jambo hapana ipo kindezi sana.Ukiwa na PhD Nchi nyingi sana Huitwi Dr..
Ila unaongezewa Neno PhD mwishoni mwa Jina lako..
Mfano mzuri Angalia Kenya kwa Rais wa Kenya..
Ana PhD ila umewahi kusikia Dr Ruto??
Mimi ni Associate CPA-PP, hao jamaa wa madini ni kama vijana wangu tuCPA mwasibu OKW BOBAN SUNZU