D
DeletedMember281674
Guest
Muuaji anakuja mbele ya runinga za watanzania Milioni 65 anawaambia nimeshaunda Tume ya Maridhiano, kama hili ndilo alilomuitia Mzee wetu Warioba Ikulu naomba wamshauri tu Mzee Warioba akae mbali na majukumu yote atakayopewa na Serikali hii iliyomwaga damu za raia wake
Yaani wanajizima data hawajui hata International Humanitarian Law inasemaje kuhusiana na uundwaji wa Tume na DDR zinatqkiwa zifanyike kwa njia gani.
Unaunda Tume ya just aka kuridhiana na nani??? Wahaini waliolipwa kuangusha Dola??? Vyama vya siasa??? Familia zilizopoteza Ndugu zao???
Inawezekana hajui wananchi wanataka Nini??? Wananchi wanataka wahusika wote wanachukuliwa hatua ikiwemo kufungwa Maisha au kunyongwa kwa mauaji waliyoyafanya, wanataka Kiongozi wa nchi apishe kiti chake kwa sababu wananchi wameuwawa akiwa CinC hivyo amepoteza sifa ya kuendelea kuwa Kiongozi wa Taifa (rejea Mzee Mwinyi na mauaji ya Shinyanga alijiuzuru) lakini huku mtu ameuwa wananchi wake lakini bado anathubutu kutoa salamu za Mwaka Mpya.
Wananchi wanataka wapewe fidia kwa mauaji ambayo Serikali imefanya ikiwa pamoja na kuwapa Miili ya Wapendwa wao wakawazike kwa heshima.
Wananchi wanataka Katiba mpya, waliotekwa wapatikane haraka, waliopotezwa wanapatikana, ufisadi unaofanywa na Abdul kwenye gesi na madini na sukari anafikishwa Mahakamani na anahukumiwa kifungo cha Maisha, RASIMALI za nchi zinasimamiwa na watanzania wenyewe ili kuleta Ajira na kupunguza ugumu wa Maisha kwa Kila mtanzania, n.k.
Kwa kweli hiyo Tume ya Maridhiano namshauri asiweze kuunda, maana Taifa linahitaii uponyaji kwanza wa yeye mwenyewe kukaa pembeni kupisha HICHO kiti maana na yeye ni muhusika namba Moja na ndiyo maana ICC wapo na Serikali yake na EU wameondoa misaada yao nchini.
Acheni propaganda za kitoto Kwamba watu walikuwa wanataka kuangusha Dola, au walilipwa au ni wageni...hizi ni propaganda za kitoto Sana. Kwa kifupi wananchi wamechoka na Uongozi wako na ufisadi unaofanya kupelekea wananchi kuwa na Maisha magumu, hawasemi kwa sababu wanaogopa kutekwa, kupotezwa na kuuwawa.
Watanzania wamechoka kuchezewa akili na wengi miyoni mwao hususani watanganyika wanatamani ufe ndani ya January 2026 ili wapumue waishi kwa Amani.
Kwakheri