Tume ya Pinda kwenda kuchunguza NECTA

Mupirocin

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
1,739
Reaction score
748
Pamoja na kuonekana kuwa serikali imeandaa hadidu za rejea, serikali inaonekana inasisitiza zaidi kuichunguza zaidi NECTA. Naona amesisitiza zaidi utungaji, usahihishaji na uhalisia wa mitihani yenyewe. Kama tume ikajikita zaidi kuchunguza NECTA hatuwezi kupata nini sababu ila zaidi tutawatuhumu NECTA na mwisho kumwondoa Dr Ndalichako na hatimaye game will continue.
My take: Naomba hapa tume iache siasa na ichunguze kwa makini na itoe way forward nzuri itakayo nusuru Taifa. Huu ni mtazamo wangu coz naona Pinda anaanza kujihami mapema.
 
Wewe mleta thread ndiyo unayejihami kwani unaanza kubwabwaja hata kabla hatujapata majibu ya tume, subir kwanza outcomes ndiyo tuje tujadili hayo unayoyasema.
 
huyu jamaa dhaifu kama bosi wake hajui anachokifanya,

nchi hii ina mkosi wa kuwa an viongozi dhaifu kama huyu jamaa.

bungeni alikataa hoja ya mbatia na sasa anafanya nini?? huyu waziri mkuu hopless kabisa
 
Hi tume ni ya ulaji make matatizo ya elimu ni mengi mno na tume haijaelekezwa kuyachunguza mojawapo ni ukosefu wa chaki mashuleni.
 
Ulimsikiliza vizuri PM mtoa mada?

ndiyo nilimsikiliza vema sana, mkuu. Hadidu za rejea zipo, lakini yeye katika msisitizo wake alipenda sana apate majibu kuhusu mitihani zaidi na ndivyo alivyosisitiza.
 
Tusiongee sana hebu tusubir matokeo ya tume lkn serikal lazma iandae mipango ya muda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…