Mupirocin
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,739
- 748
Pamoja na kuonekana kuwa serikali imeandaa hadidu za rejea, serikali inaonekana inasisitiza zaidi kuichunguza zaidi NECTA. Naona amesisitiza zaidi utungaji, usahihishaji na uhalisia wa mitihani yenyewe. Kama tume ikajikita zaidi kuchunguza NECTA hatuwezi kupata nini sababu ila zaidi tutawatuhumu NECTA na mwisho kumwondoa Dr Ndalichako na hatimaye game will continue.
My take: Naomba hapa tume iache siasa na ichunguze kwa makini na itoe way forward nzuri itakayo nusuru Taifa. Huu ni mtazamo wangu coz naona Pinda anaanza kujihami mapema.
My take: Naomba hapa tume iache siasa na ichunguze kwa makini na itoe way forward nzuri itakayo nusuru Taifa. Huu ni mtazamo wangu coz naona Pinda anaanza kujihami mapema.