PostGE2025 Tume ya Rais isiwe na viongozi wa siasa,dini wala kutoka kila mkoa

PostGE2025 Tume ya Rais isiwe na viongozi wa siasa,dini wala kutoka kila mkoa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Nashauri tume ya upatanishi/maridhiano iwe HURU kabisaaa isiwe na viongozi wa siasa,dini, wala serikali na wajumbe wake watoke kila wilaya kwa jinsia tofauti hapo italeta usawa na haki si vinginevyo.
 
Mshtakiwa mkuu anajiundia tume ya kuchunguza mauaji aliyoyafanya mwenyewe.
 
Wakifa wao mtuhumiwa jera ni haki yake, tukifa sisi tunaambiwa kunameza inaandaliwa tukae tuyamalize hii ni sawa kweli!
 
Back
Top Bottom