H HAKI KWA WOTE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2022 Posts 2,783 Reaction score 2,396 Nov 21, 2025 #1 Nashauri tume ya upatanishi/maridhiano iwe HURU kabisaaa isiwe na viongozi wa siasa,dini, wala serikali na wajumbe wake watoke kila wilaya kwa jinsia tofauti hapo italeta usawa na haki si vinginevyo.
Nashauri tume ya upatanishi/maridhiano iwe HURU kabisaaa isiwe na viongozi wa siasa,dini, wala serikali na wajumbe wake watoke kila wilaya kwa jinsia tofauti hapo italeta usawa na haki si vinginevyo.
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,156 Nov 21, 2025 #2 Mshtakiwa mkuu anajiundia tume ya kuchunguza mauaji aliyoyafanya mwenyewe.
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 16,871 Reaction score 39,881 Nov 21, 2025 #3 Hakuna maridhiano
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Nov 21, 2025 #4 Wakifa wao mtuhumiwa jera ni haki yake, tukifa sisi tunaambiwa kunameza inaandaliwa tukae tuyamalize hii ni sawa kweli!
Wakifa wao mtuhumiwa jera ni haki yake, tukifa sisi tunaambiwa kunameza inaandaliwa tukae tuyamalize hii ni sawa kweli!
K KARLO MWILAPWA JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 3,250 Reaction score 5,509 Nov 21, 2025 #5 Kwamba tume iwe na wajumbe zaidi ya 150?
H HAKI KWA WOTE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2022 Posts 2,783 Reaction score 2,396 Nov 22, 2025 Thread starter #6 KARLO MWILAPWA said: Kwamba tume iwe na wajumbe zaidi ya 150? Click to expand... Ni sawa tu kwani bunge lona wabunge wangapi?hatuangalii gharama
KARLO MWILAPWA said: Kwamba tume iwe na wajumbe zaidi ya 150? Click to expand... Ni sawa tu kwani bunge lona wabunge wangapi?hatuangalii gharama
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Nov 23, 2025 #7 Ngumu kwa serikali... Cc: Mahondaw