Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Hata usingefanyika pia mngelaumu.Naamini hizo kata 23 zimekuwa bila madiwani kwa miezi mingi zaidi ya hii iliyobaki kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa kufanyika nchini, hizi sheria nyingine ndio zinasababisha tupigwe.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kuongoza Watanzania ni tabu sana.
Wakati mwingine ni bora kunyoosha tu kwamba tunafanya uchaguzi mdogo na sababu kuu ni MATAKWA YA SHERIA mpende mkatae.