Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Uchaguzi mdogo wa madiwani kwenye kata 23 za Tanzania Bara

Naamini hizo kata 23 zimekuwa bila madiwani kwa miezi mingi zaidi ya hii iliyobaki kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa kufanyika nchini, hizi sheria nyingine ndio zinasababisha tupigwe.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hata usingefanyika pia mngelaumu.

Kuongoza Watanzania ni tabu sana.

Wakati mwingine ni bora kunyoosha tu kwamba tunafanya uchaguzi mdogo na sababu kuu ni MATAKWA YA SHERIA mpende mkatae.
 
WATEUENI HAO MADIWANI KAMA MAGUFULI ALIVYOWATEUA WABUNGE

Au Tume ilivyowateua HALIMA MDEE na wenzake 18 ili kunusuru FEDHA ZA MASIKINI WALIPA KODI
 
Hivi vipengele ndivyo vilitakiwa vifanyiwe marekebisho,imebaki mwaka mmoja tu tufanye uchaguzi mkuu kwa nini tusisubili uchaguzi mkuu na nafasi zao zikashikiliwa kwa muda na makatibu kata ili kuepusha matumizi mabaya ya pesa za uma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…