Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imekabidhiwa Tuzo ya upandaji miti

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Tume ya Taifa ya Uchaguzi leo tarehe 14 Agosti 2021 imekabidhiwa tuzo ya Mshindi wa Pili kwa Taasisi za Serikali zinazoongoza kwa upandaji miti mkoa wa Dodoma.

Tuzo hiyo imetolewa kwenye Tamasha la Upandaji Miti la mwaka 2021 lililofanyika Chuo cha DECA Jijini Dodoma ambapo.
 
Ni vizuri kwa kuendeleza utnzaji wa mazingira
 
Tanzania nchi ya ajabu sana . Onasasa watendaji wenye vipaji vya masuala ya mazingira wamepelekwa kusimamia jambo wasiloliweza . Kwa tuzo hii hao watendaji wameonesha ufanisi wa kiwango cha juu kuhusu mazingira ni bora wapelekwe kusimamia mazingira na nafasi ya kusimamia haki na maadili ya uchaguzi wawekwe wenye ufanisi juu ya masuala ya uchaguzi.
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi leo tarehe 14 Agosti 2021 imekabidhiwa tuzo ya Mshindi wa Pili kwa Taasisi za Serikali zinazoongoza kwa upandaji miti mkoa wa Dodoma.

Tuzo hiyo imetolewa kwenye Tamasha la Upandaji Miti la mwaka 2021 lililofanyika Chuo cha DECA Jijini Dodoma ambapo.
Yaani Tume imebobea kwenye mambo ya misitu! Yaani imejaa maafisa misitu! Ndo maana ni vigumu kusimamia uchaguzi.
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi leo tarehe 14 Agosti 2021 imekabidhiwa tuzo ya Mshindi wa Pili kwa Taasisi za Serikali zinazoongoza kwa upandaji miti mkoa wa Dodoma.

Tuzo hiyo imetolewa kwenye Tamasha la Upandaji Miti la mwaka 2021 lililofanyika Chuo cha DECA Jijini Dodoma ambapo.
Wameshindwa kusimamia uchaguzi wameingia kwenye miti?
 
Hao NEC ni kikundi cha kusimamia ccm kuingia madarakani kwa nguvu. Hiyo kazi ya kuotesha miti ndio wanayoiweza, ila sio kusimamia uchaguzi.
 
Tume hii inaacha kuhangaika na mambo yake ya msingi inapanda miti, muda ukifika inaelekezwa cha kufanya na watawala yaani nchi hii bahati mbaya sana, kuna mambo ya kuudhi sana , na wao wapo tu wanakula na mishahara kabisaaaa, na bado tunajiita nchi masikini, Kazi sana kuwa mtu mweusi.
 
Habari njema kwa NEC ambao ni magwiji wa usimamizi wa chaguzi duniani
Tume ya Taifa ya Uchaguzi leo tarehe 14 Agosti 2021 imekabidhiwa tuzo ya Mshindi wa Pili kwa Taasisi za Serikali zinazoongoza kwa upandaji miti mkoa wa Dodoma.

Tuzo hiyo imetolewa kwenye Tamasha la Upandaji Miti la mwaka 2021 lililofanyika Chuo cha DECA Jijini Dodoma ambapo.
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi leo tarehe 14 Agosti 2021 imekabidhiwa tuzo ya Mshindi wa Pili kwa Taasisi za Serikali zinazoongoza kwa upandaji miti mkoa wa Dodoma.

Tuzo hiyo imetolewa kwenye Tamasha la Upandaji Miti la mwaka 2021 lililofanyika Chuo cha DECA Jijini Dodoma ambapo.
At least that's what they can do
 
Tume ya uchaguzi na upandaji miti wapi na wapi???----au upandaji Miti ni jina la tafsida??!!
 
Waliwahi kufanya vizuri sana pia kwenye monesho ya nane nane.
 
Back
Top Bottom