Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Hahaaaa haya ya Kilimo? aisee basi sawaWaliwahi kufanya vizuri sana pia kwenye monesho ya nane nane.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa haya ya Kilimo? aisee basi sawaWaliwahi kufanya vizuri sana pia kwenye monesho ya nane nane.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi leo tarehe 14 Agosti 2021 imekabidhiwa tuzo ya Mshindi wa Pili kwa Taasisi za Serikali zinazoongoza kwa upandaji miti mkoa wa Dodoma.
Tuzo hiyo imetolewa kwenye Tamasha la Upandaji Miti la mwaka 2021 lililofanyika Chuo cha DECA Jijini Dodoma ambapo.