Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufumuliwa

Kuongeza gharama tu
Wewe unajua hasara ya kuwapata viongozi wasiofaa ambao hawakuchaguliwa na wananchi?

Unajua Taifa limepoteza kiasi gani kwa miaka 6 iliyopita:

Ukuaji wa uwekezaji kudondoka toka 28% mpaka 4%.

Ukuaji wa utalii kudondoka toka 15% mpaka 3.6%.

Thamani ya mauzo ya mazao ya kilimo kudondoka kwa 50%

Watu kuuawa

Watu kutekwa

Watu kubambikiwa kesi

Kuwapa watu vyeo kwa upendeleo, watu wasio na uwezo wowote zaidi ya kujipendekeza na kufoka?
 
NEC Ili iweze kutenda haki na kulaumiwa kama haijatenda haki ni lazima kuondoa watumishi wa serikali hasa wakurugenzi na watendaji.wa kata na watumishi wengine. Tume lazima iajiri watumishi wake.
Move nzuri..hapa kidogo itaonyesha inajitegemea..tutoke sasa twende kwenye namna ya kuwapata hao viongozi wake..na itaundwa kwa muundo gani toka juu mpaka kwenye kata.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wewe unajua hasara ya kuwapata viongozi wasiofaa ambao hawakuchaguliwa na wananchi?

Unajua Taifa limepoteza kiasi gani kwa miaka 6 iliyopita....
Nimeipenda sentensi moja ya kupeana vyeo kwa upendeleo !! Naona hii imeshaota mizizi !! Kazi kweli kweli !!
 
Hujaelewa, kufumuliwa ifumuliwe lakini sio kwa utaratibu wa kuajiri kuanzia mtaa, we unategemea ni watumishi wangapi wataajiriwa nchi nzima. Hapo ndio nnapokataa. Ni Kama leo TRA iajiri kuanzia mtaa. Yaani kuwe na ofisi ya mtaa, kata,
 
Kwani si fiisiiemu hao hao ndio waliifanya ikawa kama jeshi la mamluki, wameona nini kutaka kuifumua? ilikua aibu tupu kipindi cha jiwe, yaani taasisi ya kusimamia uchaguzi aliigeuza kama kijijeshi fulani hili, vipenyo kibaaaaaaaaaaaaaaaao , wale waliokosa malindo wote tupa huko, ukiuliza urinzi na usarama, wa kwiyooooo. Nchi hiyo ipatikane Katiba Mpya tu na si vinginevyo.
 
πŸ’πŸ’πŸ’
Your browser is not able to display this video.
 
Wafanyakazi wataokuwa na kazi kwa mwaka 1 tu
 
Dk. Charles Wilson Mahera ( aliyekuwa Mtu wa Hayati Rais Dkt. Magufuli Kiukaribu na Kiutii ) hatakiwi tena hapo, ila huenda bado wanatafakari ni wapi wampeleke Kiuteuzi kama akiondolewa katika hiyo Nafasi Muhimu na Nyeti katika Maamuzi ya Afya ya Kisiasa, Kiusalama na Kidemokrasia nchini.
 
Wafumue ...ni fursa kwa ajira mpya....utakuta zinahesabiwa katika zile 32,000 tulizoambiwa!
 
Si wamrudishe UDSM alikokuwa anafundisha kabla ya kuwa Mkurugenzi Arusha!
 
Si wamrudishe UDSM alikokuwa anafundisha kabla ya kuwa Mkurugenzi Arusha!
Kwa Hadhi alyokuwa nayo hapaswi kurejea tena huko UDSM na Nafasi ambazo labda zinamfaa ni za Uteuzi wa kuwa Balozi au Mkuu wa Bodi, Taasisi au Ubunge ili baadae aje kuwa Waziri aweze kutumika Kiufanisi zaidi kama tu itampendeza Rais aliyeko.
 
Mahera ndiye tatizo na adui number 1 wa Taifa.
[/QUOTE]
Tatizo ni Kiongozi Mkuu (Rais),chini ya Katiba ya nchi kwa sasa. Au ukipenda, tatizo ni kutegemea utashi binafsi wa Rais, Chama chake na nguvu aliyo nayo kikatiba. Dawa ni Katiba mpya!
 
NEC Ili iweze kutenda haki na kulaumiwa kama haijatenda haki ni lazima kuondoa watumishi wa serikali hasa wakurugenzi na watendaji.wa kata na watumishi wengine. Tume lazima iajiri watumishi wake.
Kama watalipwa na serikali,itatafsirika vipi kuwa so watumishi wa serikali!?
 
Hao watumishi wa nec watakuwa ni vijana wa tisa wakipokea maelekezo ya chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…