Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufumuliwa

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufumuliwa

Mhalifu kama Mahera hastahili kuumiza vichwa, wapi kwa kumpeleka. Ni kumrydisha kwenye ukurugenzi wa Halmashauri. Anaweza kupelrkwa huko Uvinza au Namanyere. Akileta upuuzi wake, atashughulikiwa huko huko.
Afukuzwe kazi na asipewe nafasi nyingine yeyote ili liwe funzo kwa mrithi wake kuwa alichokifanya Mahera hakikubaliki na yeye akimuiga atafukuzwa kazi vile vile.

Amandla...
 
Back
Top Bottom