Uchaguzi 2020 Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC), nawasihi, kupitisha jina la Lissu kugombea Urais, ni kuweka rehani Amani na Usalama wa Taifa

Kwanza nani kakuuliza kama umetumwa au la? Yes, tunajua umetumwa, ndiyo maana umetanguliza kujitetea.

Hilo kundi lenu la "usalama uchwara" mnaozunguka humu mitandaaoni kueneza propaganda na kuwaingizia hofu watawala ili wavunje sheria za uchaguzi makusudi kwa lengo la kubaki madarakani hamuisaidii nchi bali mnaiandaa for disaster.

Kama kweli Tume ya Uchaguzi imejipanga kutenda haki, na serikali na CCM yao hawajipangi kuiba au kudhulumu haki ya wananchi, hii hofu yote kwa Lissu ya nini? Msidhani mnawazi akili mamilioni ya watanzania mliowaziba midomo kwa miaka 5. Hamtaweza, hamjajipanga, wala hamna mbinu sahihi za kuzuwia wananchokitaka wananchi kupitia sanduku la kura.

Amani ya nchi itabaki kwa kutenda mambo mawili tu:

1. Kuacha haki itendeke katika process nzima ya uchaguzi. Msilogwe wala kuchochewa na shetani yeyote kuleta mizengwe kwenye uteuzi wa Lissu. Kufanya janja yoyote kuzuwia Lissu asigombee kwa sababu ya visingizio vyovyote ni kuamua moto uanze kuwaka mapema kabla ya uchaguzi, na hivyo kupelekea uchaguzi usiwepo kabisa. Msijaribu.!

2. Kuweka mfumo wa wazi wa kutangaza matokeo halali mwanzo mwisho na kuviruhusu vyama vyote vya siasa vikusanye matokeo yake na kulinganisha na ya Tume ili kila upande uridhike na mshindi halali. Mnaogopa nini kuweka wazi kama mnaheshimu matakwa ya wananchi?

Kinyume cha hapo, mjiandae kupambana na wananchi wenye hasira kali na waliochoka na upuuzi wenu wa kila uchaguzi. Hasira zote za watanzania zilizofunikwa kwa miaka mingi mtaziona mwaka huu mkifanya ujinga. Na nyie mnaojiita usalama mtaikimbia nchi na kuliachia jeshi la wananchi kuokota vipande vya mabaki ya upuuzi wenu.

Lissu sio tatizo. Lissu ni kikwazo cha uonevu, wizi, vurugu, na dhuluma yenu dhidi ya wananchi. Mnamwogopa kwa sababu mnajua, huyu si kama Lowassa 2015. Hana damu ya CCM ya unafiki na uoga. Ana maanisha kweli. Kajitoa sadaka ili Tanzania ipone. Kuna nini ambacho hamjafanya dhidi yake mpaka awaogope? Kama hata ishara za Mungu hamziogopi subiri mkutane na kisasi chake dhidi ya uovu mkubwa mnaoitendea hii nchi.
Naunga mkono hoja yako kwa 100%
 
Haya ni maoni yangu binafsi ,sijatumwa na mtu au taasisi yoyote ile ,bali ni utashi wa nafsi yangu baada ya kufuatilia mwenendo wa mteule huyu wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema).

Kiongozi huyu kwa kauli zake alizozitoa wakati akitafuta wadhamini ni za shari sana na amekusudia kulibomoa taifa aidha kwa yeye kutojua ,au anajua kwa makusudi kabisa ,sitarudia kauli zake kwani ziko wazi mitandaoni na zinapoonekana kuwakera watanzania na kumshutumu ,hujaribu kuzi-neutralize akijifanya hakumaanisha kile ambacho ni kusudi lake kabisa toka moyoni bila shaka yoyote ile.

Lissu hayuko peke yake ,kuna kundi la baadhi ya maadui wa mafanikio ya taifa hili,ambao ndio wanamtumia kufanikisha mission zao kwa kigezo cha demokrasia kama ambavyo wameyabomoa mataifa mengi barani afrika ili yawe tegemezi daima na milele.mfano Libya ,Irak,Zimbabwe

Naiomba tume isipitishe jina lake kugombea nafasi ya urais kwa sababu ndio kihunzi ambacho maadui zetu wanaomba mchana na usiku wakivuke, wakifanikiwa watanzania muamini tunaenda kugawanyika na kusambaratika,huyu kiumbe kapangwa hata kama akishindwa kihalali akatae matokeo, na nchi ikisha ingia taharuki ndipo maadui watapata mwanya wa kufanya maovu yao dhidi ya mafanikio yetu.ifahamike taharuki hiyo itarudisha nyuma taifa kulekea kujitegema .

Lazima watanzania mfahamu kitendo cha kupunguza utegemezi ikiwemo gharama za uchaguzi ambazo zimekuwa zikigharamikiwa na mataifa ya nje kwa muda mrefu kwenye chaguzi karibu zote kimewakwaza sana ,hiyo ndio pia njia wanayoitumia kuhalalisha watawala wanaowataka kwa maslahi yao binafsi.

Nionavyo ni kheri ya nusu shari kuliko shari kamili,
Nusu shari ni tume kukata jina lake,na shari kamili ni kuruhusu jina la Lissu kugombea urais.

Hivi sasa mitandaoni kuna vijana wameajiliwa kuitisha tume ya uchaguzi kwa threads za kila aina, mimi nasema wapuuzwe hiyo ni mission maalumu kutuingiza mkenge wakidai jina lake lisikatwe kwa kigezo cha kwamba hapatatosha

mimi nasema patatosha jina lake likatwe tu,kuruhusuu jina lake kugombea ndio hapatatosha kabisa kwa dhamira aliyonayo na wale maadui zetu,na hili litakua ni kosa la kiufundi ambalo tutajilaumu wenyewe.

Mwisho,umoja wetu ndio ushindi wetu dhidi ya maadui wa maendeleo ya taifa letu,kipindi hiki tushikamane haswa .
Wacheni kulia lia. Wacheni dawa iwaingie kisawa sawa
 
Hutuwezi kufanya uchaguzi na kibaraka ,huyo akagombee Belgium tu,afterall pesa ya uchaguzi si ya mabeberu
 
Shibuda na Lipumba juzi wamechukua pesa toka CCM kwa mijubu wa dalali wa CCM Le mutuz ambaye kala 10% cha juu, wapo wana vikao vya kujiandaa kwenda kuweka pingamizi kwa Tundu lisu ni aina ya ushetani na roho mbaya zilizosalia Tanzania tu, Nchi imegeuka kuwa ya vioja visivyo na tija
 
Wanaliokoa taifa,acha ufala wewe mnyoo
 
Minyoo dawa yake ni bendazoni tu,kunywa utapona
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho na nilijua hilo nimekutegea na kweli umeingia kwenye mtego, kipimo cha ufala ujuha ubwege upumbavu hapa JF huwa ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani, Mbona ID yako ni ya kishamba toka kolomije lakini hakuna mwenye mda wa kuhangaika nayo, humu ni hoja siyo ID acha ufala wewe mbweha hizo roho mbaya za kumuombea Tundu lisu Dua za kiwendawazimu zitakurudia wewe mwenyewe utajikuta unapewa mimba na Cyprian Musiba unaposhinda ukivuta Bangi.
 
Hayo mamlaka ya kushauri unayatoa wapi, kwa mzinu wa babu yako bibi yako, kachambe ulale
 
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho na nilijua hilo nimekutegea na kweli umeingia kwenye mtego, kipimo cha ufala ujuha ubwege upumbavu hapa JF huwa ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani, Mbona ID yako ni ya kishamba toka kolomije lakini hakuna mwenye mda wa kuhangaika nayo, humu ni hoja siyo ID acha ufala wewe mbweha hizo roho mbaya za kumuombea Tundu lisu Dua za kiwendawazimu zitakurudia wewe mwenyewe utajikuta unapewa mimba na Cyprian Musiba unaposhinda ukivuta Bangi.
Wewe ni jinsia ya KE?,si kwa hii mipasho
 
Ikulu sio maabara ya biology haitumiki kufanya experiment, tunapeleka mtu ikulu tulie na uhakika na kazi yake, sio Lissu asiyekuwa na rekodi yeyote ya utendaji kazi
we mzeee wa bangi we ivi unajuwa kama ccm huu ni mwaka takriban wa 60 kutawala Tanzania haya tutajiye hayo mafanikiyo ya miaka 60 ya utawala wa ccm PLEASE TUTAJIYE PLEASE
 
Hutuwezi kufanya uchaguzi na kibaraka ,huyo akagombee Belgium tu,afterall pesa ya uchaguzi si ya mabeberu
Huwezi kufanya uchaguzi na nani? Watanzania wapi unawasemea? au hao unaovuta nao Bangi? Wewe ndiyo kibaraka wa chato kagombee huko ulipojenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, mkienda kuomba omba misaada kwa wazungu nyinyi CCM huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa upumbavu wa CCM mnakimbilia kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi ni CCM ni mbuzi jike.
 
Haya ni maoni yangu binafsi ,sijatumwa na mtu au taasisi yoyote ile ,bali ni utashi wa nafsi yangu baada ya kufuatilia mwenendo wa mteule huyu wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema).

Kiongozi huyu kwa kauli zake alizozitoa wakati akitafuta wadhamini ni za shari sana na amekusudia kulibomoa taifa aidha kwa yeye kutojua ,au anajua kwa makusudi kabisa ,sitarudia kauli zake kwani ziko wazi mitandaoni na zinapoonekana kuwakera watanzania na kumshutumu ,hujaribu kuzi-neutralize akijifanya hakumaanisha kile ambacho ni kusudi lake kabisa toka moyoni bila shaka yoyote ile.

Lissu hayuko peke yake ,kuna kundi la baadhi ya maadui wa mafanikio ya taifa hili,ambao ndio wanamtumia kufanikisha mission zao kwa kigezo cha demokrasia kama ambavyo wameyabomoa mataifa mengi barani afrika ili yawe tegemezi daima na milele.mfano Libya ,Irak,Zimbabwe

Naiomba tume isipitishe jina lake kugombea nafasi ya urais kwa sababu ndio kihunzi ambacho maadui zetu wanaomba mchana na usiku wakivuke, wakifanikiwa watanzania muamini tunaenda kugawanyika na kusambaratika,huyu kiumbe kapangwa hata kama akishindwa kihalali akatae matokeo, na nchi ikisha ingia taharuki ndipo maadui watapata mwanya wa kufanya maovu yao dhidi ya mafanikio yetu.ifahamike taharuki hiyo itarudisha nyuma taifa kulekea kujitegema .

Lazima watanzania mfahamu kitendo cha kupunguza utegemezi ikiwemo gharama za uchaguzi ambazo zimekuwa zikigharamikiwa na mataifa ya nje kwa muda mrefu kwenye chaguzi karibu zote kimewakwaza sana ,hiyo ndio pia njia wanayoitumia kuhalalisha watawala wanaowataka kwa maslahi yao binafsi.

Nionavyo ni kheri ya nusu shari kuliko shari kamili,
Nusu shari ni tume kukata jina lake,na shari kamili ni kuruhusu jina la Lissu kugombea urais.

Hivi sasa mitandaoni kuna vijana wameajiliwa kuitisha tume ya uchaguzi kwa threads za kila aina, mimi nasema wapuuzwe hiyo ni mission maalumu kutuingiza mkenge wakidai jina lake lisikatwe kwa kigezo cha kwamba hapatatosha

mimi nasema patatosha jina lake likatwe tu,kuruhusuu jina lake kugombea ndio hapatatosha kabisa kwa dhamira aliyonayo na wale maadui zetu,na hili litakua ni kosa la kiufundi ambalo tutajilaumu wenyewe.

Mwisho,umoja wetu ndio ushindi wetu dhidi ya maadui wa maendeleo ya taifa letu,kipindi hiki tushikamane haswa .
Vipi kuhusu yule aliyesema Ole wake Mkurugenzi yoyote atakayemtangaza Mpinzani mshindi huyu tume imfanyeje ndugu? tunaomba majibu
 
we mzeee wa bangi we ivi unajuwa kama ccm huu ni mwaka takriban wa 60 kutawala Tanzania haya tutajiye hayo mafanikiyo ya miaka 60 ya utawala wa ccm PLEASE TUTAJIYE PLEASE
CCM ndio imekufanya uvimbewe na kuleta huu uharo wako ,bila CCM ungekuwa gay tu
 
Back
Top Bottom