Uchaguzi 2020 Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC), nawasihi, kupitisha jina la Lissu kugombea Urais, ni kuweka rehani Amani na Usalama wa Taifa

Pumba
 
Yaani unamaanisha jina lake kupitishwa ushindi wa URAIS ni hakika kwake? Kwahiyo unahitaji jina likatwe bila hata kuzingatia vigezo na masharti ya TUME? AU kuna hofu gani ndani yako Mkuu !! Basi fanya favour moja kwa TUME wape vigezo vitakavyo pelekea wao kukata jina lake kwavyo!!
 
Akili yako ina utapiamlo sio bure

Amani ya nchi iko hatarini wapinzani wakisema hawako tayari tena kuporwa ushindi? Chaguzi zote toka kaingia Magufuli zinanajisiwa huku wapinzani wakiachiwa vilema na vijana wa ccm kwa uratibu wa vyombo vya dola. Uchaguzi wa SM za mitaa juzi umenajisiwa wazi wazi, kote huko hukuona nchi kuingia kwenye machafuko, ila itaingia iwapo Lisu atagoma kuibiwa kura! Magufuli ndio ataingiza nchi hii kwenye machafuko fullstop.
 
watu kutoumia wala simu i hazijaibiwa wako poa bila uwepo wa polish ukiziitashari poatu
 
Wee jama vip Segerea imekua chini ya Ccm tangu Kuumbwa kwa Ulimwengu. VIP.mtaa na Kata ya Kanga kule kinyerezi unaweza kukulinganisha na wapi? Kule ni sawa na wanaoishi kule kwetu Ushetu. Sema utofauti ni kidogo
 
sasa kama process ya kutafuta wadhamini tu kashavunja sheria akienda ikulu si ndo itakua balaa, mm nadhan akatwe tu! kwanza haendi kushinda cha pili sio mfuata utaratibu
Taratibu zipi unaongelea? au za wazabuni na manunuzi ? au zipi tafadhani elezea kama si majungu!
 

Hiyo tume imetumwa kuwagandamiza wapinzani. Washuri hiyo tume na hile njingine ya TAKUKURU wawachukulie hatua walaoto rushwa.
Nilikuwa naangalia hizi katuni za kipanya zikanitafakarisha sana kwani yawezekana kuna ukweli ndani yake.

Hebu ziangalia then to koment zako.

 
Lissu ni mkora tu,asituharibie nchi yetu,msaliti huyo
Nchi yenu !!. Kwani siyo nchi akina Lissu ?! . Ujinga ulio ndani ya nyumba yenu hiyo ni laana ndiyo maana wakazi wa nchi hii wanalikataa jina hasili yake
 
" Haya ni maoni yangu binafsi ".

Kiongozi unayo haki kama tulivyo wengine kuwa na maoni yako katika jambo lolote. Lakini haki yako hiyo husiitumie vibaya kwa kuwapotosha wengine bila kujua ama kwa makusudi.

"ni utashi wa nafsi yangu baada ya kufuatilia mwenendo wa mteule huyu".

Kwa maana hiyo utashi wa nafsi yako umekutuma kutumia haki yako vibaya? Kwa sababu maelezo yako yanaonyesha ufuatiliaji wako haukuwa wa nia nzuri, kwa vile umepotosha kauli zake kwa kuzitafsiri unavyotaka wewe, aidha kwa kutokujua ama kwa kukusudia.

"kauli zake alizozitoa wakati akitafuta wadhamini ni za shari sana na amekusudia kulibomoa taifa".

Ni kauli gani ambazo wewe umeziona za shari? Ili kujua kama umezielewa vizuri ama umezitafsiri unavyo taka, lililo sahihi nikuzileta hapa. Hapo itakuwa umefanya haki kama zitamaanisha vile unavyo eleza wewe.

"Naiomba tume isipitishe jina lake kugombea nafasi ya urais".

Umetoa wapi ujasiri huu wakuiomba tume kuvunja sheria kwa kutokumpitisha mgombea kwa maombi yako ambayo yanapingana na sheria? Utashi wa nafsi yako usikupeleke katika kuvunja sheria za nchi, hayo ni matumizi mabaya ya haki yako.

"maadui wa maendeleo ya taifa letu".

Kwa mfano ikitokea kwa bahati mbaya ama kwa makusudi tume ya uchaguzi ikakubaliana na ombi lako la kutompitisha mgombea bila sababu za kisheria kama ulivyoomba. Je, "maadui wa maendeleo ya taifa letu" watakuwa ni kina nani?

Mwisho namalizia kwa kukushahuri tena, usitumie haki yako vibaya kwa lengo la kupotosha.
 
Shida ni kwamba mshajua kwao Lissu akiwemo kwenye uchaguzi Hanna ubavu was kumshinda kwa kura labda muibe, ndo maana mnateseka sana
2020 ni Lissu pekee
 
Vitakusaidia nini?
Huyo Tundu Lissu tutahakikisha jina lake halitakuwa kwenye karatasi ya kupiga kura (Ballot Paper). Hii itakuwa kwa njia ya pingamizi au technical knock out kwa kuhakikisha anashindwa kufika Ofisi za Tume ya Uchaguzi tarehe 26.8.2020. Kamwe hatutakubali TL awe mgombea. Maana atampa mgombea wetu shida sana.
 
Lissu ni puppet,hawezi kupitishwa kugombea, yaani huyu jamaa namchukia Sana,sijui yule pumbavu akikosaje shabaha k*manina zake!
 
Atapitishwa na atapata kipigo cha uhakika kwenye uchaguzi, tatizo cdm hawajaelewa kuwa kwa Tanzania mikutano ya hadhara ni katika starehe za kupoteza muda. Watu wanajazana kumuona lissu ili waone hizo risasi alizo pigwa, sio kuwa ndio watampigia kura.
 
Natamani Hilo litokee mkuu,yaani hata Lissu ikitokea kawa Rais wa nchi hii,ntamtafuta mm mwenyewe,l hate him with a passion!
 
Acha uoga wewe! Fujo zingetokea wakati ule wa Lowasa hamna fujo Wala Nini,akatwe Lissu uwekwe wewe?!!..Na asipopitishwa ndo hhhiiiiiiiiiii....
 
Acha uoga wewe! Fujo zingetokea wakati ule wa Lowasa hamna fujo Wala Nini,akatwe Lissu uwekwe wewe?!!..Na asipopitishwa ndo hhhiiiiiiiiiii....
Anakatwa na nchi inabaki salama kabisa
 
Empty head a.k.a tabulalasa ,Lissu ahatarishe amani ya nchi ya uchumi wa kati ,jeshi , magereza , tiss ,uhamiaji , kazi Yao nini ,mmeishiwa mataga mpaka huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…