Uchaguzi 2020 Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC), nawasihi, kupitisha jina la Lissu kugombea Urais, ni kuweka rehani Amani na Usalama wa Taifa

thetallest

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Posts
8,271
Reaction score
9,113
Haya ni maoni yangu binafsi ,sijatumwa na mtu au taasisi yoyote ile ,bali ni utashi wa nafsi yangu baada ya kufuatilia mwenendo wa mteule huyu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA.

Kiongozi huyu kwa kauli zake alizozitoa wakati akitafuta wadhamini ni za shari sana na amekusudia kulibomoa taifa aidha kwa yeye kutojua ,au anajua kwa makusudi kabisa ,sitarudia kauli zake kwani ziko wazi mitandaoni na zinapoonekana kuwakera watanzania na kumshutumu ,hujaribu kuzi-neutralize akijifanya hakumaanisha kile ambacho ni kusudi lake kabisa toka moyoni bila shaka yoyote ile.

Lissu hayuko peke yake ,kuna kundi la baadhi ya maadui wa mafanikio ya taifa hili,ambao ndio wanamtumia kufanikisha mission zao kwa kigezo cha demokrasia kama ambavyo wameyabomoa mataifa mengi barani afrika ili yawe tegemezi daima na milele.mfano Libya ,Irak,Zimbabwe

Naiomba tume isipitishe jina lake kugombea nafasi ya urais kwa sababu ndio kihunzi ambacho maadui zetu wanaomba mchana na usiku wakivuke, wakifanikiwa watanzania muamini tunaenda kugawanyika na kusambaratika,huyu kiumbe kapangwa hata kama akishindwa kihalali akatae matokeo, na nchi ikisha ingia taharuki ndipo maadui watapata mwanya wa kufanya maovu yao dhidi ya mafanikio yetu.ifahamike taharuki hiyo itarudisha nyuma taifa kulekea kujitegema .

Lazima watanzania mfahamu kitendo cha kupunguza utegemezi ikiwemo gharama za uchaguzi ambazo zimekuwa zikigharamikiwa na mataifa ya nje kwa muda mrefu kwenye chaguzi karibu zote kimewakwaza sana ,hiyo ndio pia njia wanayoitumia kuhalalisha watawala wanaowataka kwa maslahi yao binafsi.

Nionavyo ni kheri ya nusu shari kuliko shari kamili,
Nusu shari ni tume kukata jina lake,na shari kamili ni kuruhusu jina la Lissu kugombea urais.

Hivi sasa mitandaoni kuna vijana wameajiliwa kuitisha au waweza sema kuiogopesha tume ya uchaguzi kwa threads za kila aina, mimi nasema wapuuzwe hiyo ni mission maalumu kutuingiza mkenge wakidai jina lake lisikatwe kwa kigezo cha kwamba hapatatosha

mimi nasema patatosha jina lake likatwe tu,kuruhusu jina lake kugombea ndio hapatatosha kabisa kwa dhamira aliyonayo yeye binafsi na maadui zetu,na hili litakua ni kosa la kiufundi ambalo tutajilaumu wenyewe.

Mwisho,umoja wetu ndio ushindi wetu dhidi ya maadui wa maendeleo ya taifa letu,kipindi hiki tushikamane haswa .
 
Weka hapa hizo shari nasi tuzipime; au shari zenyewe nizile za nitafuta vitambulisho vya machinga, nitaifumua habari maelezo, nitawalipa watumishi stahiki zao, nitawaongeza mishahara watunishi, nitatoa ajira nk.
 
We Pimbi, si Mmeleta maendeleo hadi kufikia uchumi wa kati, hofu yenu inatokana na nini hasa? Wapiga kura ni mabeberu au wananchi? Simameni mueleze ujenzi wa barabara, reli, madaraja na ndege then wananchi waamue. Acheni cheep politics nyie MATAGA
 
Ikulu sio maabara ya biology haitumiki kufanya experiment, tunapeleka mtu ikulu tulie na uhakika na kazi yake, sio Lissu asiyekuwa na rekodi yeyote ya utendaji kazi
 
OumpOTE="thetallest, post: 36444746, member: 460358"]
Haya ni maoni yangu binafsi ,sijatumwa na mtu au taasisi yoyote ile ,bali ni utashi wa nafsi yangu baada ya kufuatilia mwenendo wa mteule huyu wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema).

Kiongozi huyu kwa kauli zake alizozitoa wakati akitafuta wadhamini ni za shari sana na amekusudia kulibomoa taifa aidha kwa yeye kutojua ,au anajua kwa makusudi kabisa ,sitarudia kauli zake kwani ziko wazi mitandaoni na zinapoonekana kuwakera watanzania na kumshutumu ,hujaribu kuzi-neutralize akijifanya hakumaanisha kile ambacho ni kusudi lake kabisa toka moyoni bila shaka yoyote ile.

Lissu hayuko peke yake ,kuna kundi la baadhi ya maadui wa mafanikio ya taifa hili,ambao ndio wanamtumia kufanikisha mission zao kwa kigezo cha demokrasia kama ambavyo wameyabomoa mataifa mengi barani afrika ili yawe tegemezi daima na milele.mfano Libya ,Irak,Zimbabwe

Naiomba tume isipitishe jina lake kugombea nafasi ya urais kwa sababu ndio kihunzi ambacho maadui zetu wanaomba mchana na usiku wakivuke, wakifanikiwa watanzania muamini tunaenda kugawanyika na kusambaratika,huyu kiumbe kapangwa hata kama akishindwa kihalali akatae matokeo, na nchi ikisha ingia taharuki ndipo maadui watapata mwanya wa kufanya maovu yao dhidi ya mafanikio yetu.ifahamike taharuki hiyo itarudisha nyuma taifa kulekea kujitegema .

Lazima watanzania mfahamu kitendo cha kupunguza utegemezi ikiwemo gharama za uchaguzi ambazo zimekuwa zikigharamikiwa na mataifa ya nje kwa muda mrefu kwenye chaguzi karibu zote kimewakwaza sana ,hiyo ndio pia njia wanayoitumia kuhalalisha watawala wanaowataka kwa maslahi yao binafsi.

Nionavyo ni kheri ya nusu shari kuliko shari kamili,
Nusu shari ni tume kukata jina lake,na shari kamili ni kuruhusu jina la Lissu kugombea urais.

Hivi sasa mitandaoni kuna vijana wameajiliwa kuitisha tume ya uchaguzi kwa threads za kila aina, mimi nasema wapuuzwe hiyo ni mission maalumu kutuingiza mkenge wakidai jina lake lisikatwe kwa kigezo cha kwamba hapatatosha

mimi nasema patatosha jina lake likatwe tu,kuruhusuu jina lake kugombea ndio hapatatosha kabisa kwa dhamira aliyonayo na wale maadui zetu,na hili litakua ni kosa la kiufundi ambalo tutajilaumu wenyewe.

Mwisho,umoja wetu ndio ushindi wetu dhidi ya maadui wa maendeleo ya taifa letu,kipindi hiki tushikamane haswa .
[/QUOTE]
Pumba kabisa ndo maana mlimpiga risasi
 
We Pimbi, si Mmeleta maendeleo hadi kufikia uchumi wa kati, hofu yenu inatokana na nini hasa? Wapiga kura ni mabeberu au wananchi? Simameni mueleze ujenzi wa barabara, reli, madaraja na ndege then wananchi waamue. Acheni cheep politics nyie MATAGA
Nasikia bank ya dunia wameiondoa Tanzania ktk uchumi wa kati hajatimiza baadhi ya vigezo
 
We Pimbi, si Mmeleta maendeleo hadi kufikia uchumi wa kati, hofu yenu inatokana na nini hasa? Wapiga kura ni mabeberu au wananchi? Simameni mueleze ujenzi wa barabara, reli, madaraja na ndege then wananchi waamue. Acheni cheep politics nyie MATAGA
Maendeleo hayo hatuwezi kukubali yahalibiwe na nyie wakora mnaotumika kipumbavu
 
Weka hapa hizo shari nasi tuzipime; au shari zenyewe nizile za nitafuta vitambulisho vya machinga, nitaifumua habari maelezo, nitawalipa watumishi stahiki zao, nitawaongeza mishahara watunishi, nitatoa ajira nk.
MATAGA wamepoteana mkuu
 
Weka hapa hizo shari nasi tuzipime; au shari zenyewe nizile za nitafuta vitambulisho vya machinga, nitaifumua habari maelezo, nitawalipa watumishi stahiki zao, nitawaongeza mishahara watunishi, nitatoa ajira nk.
Angalia chadema YouTube
 
Back
Top Bottom