dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,502
- 3,483
Salaam Wakuu,
Baadhi ya Wapiga kura, wamelalamikia tume ya Uchaguzi Tanzania kwa kubadilisha namba zao kwenye daftari la kudumu la Wapiga kira.
Wamekua wakiondoa au kuongeza baadhi ya tarakimu ili kuleta udanganyifu na Upotoshaji.
Hii inafanywa ili kuhakikisha watu hawapigi kura siku ya Uchaguzi.
Mchezo huu umefanywa hasa sehemu zinazoongozwa na Upinzani.
Hapa chini nmeweka mfano, na napenda NEC iueleze Umma, ni vipi namba zinaonekana kukolezwa wino?
Tadei S Msamba ukiangalia namba yake ya kitambulisho, kisha ukaangalia kwenye daftari la kudumu la Mpiga kura, namba zinebadikishwa. Angalia mtu wa kumi kwenye Daftari.
Je, hii ina maana gani?