Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yatuhumiwa kubadilisha namba za Wapiga kura ili wakose haki ya kupiga kura

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,483
Salaam Wakuu,

Baadhi ya Wapiga kura, wamelalamikia tume ya Uchaguzi Tanzania kwa kubadilisha namba zao kwenye daftari la kudumu la Wapiga kira.

Wamekua wakiondoa au kuongeza baadhi ya tarakimu ili kuleta udanganyifu na Upotoshaji.

Hii inafanywa ili kuhakikisha watu hawapigi kura siku ya Uchaguzi.

Mchezo huu umefanywa hasa sehemu zinazoongozwa na Upinzani.

Hapa chini nmeweka mfano, na napenda NEC iueleze Umma, ni vipi namba zinaonekana kukolezwa wino?

Tadei S Msamba ukiangalia namba yake ya kitambulisho, kisha ukaangalia kwenye daftari la kudumu la Mpiga kura, namba zinebadikishwa. Angalia mtu wa kumi kwenye Daftari.

Je, hii ina maana gani?

IMG_20200826_002951_765.jpg
IMG_20200826_002922_141.jpg
 
Wtz ni mapoyoyo mambo kama haya uwafanyie wapinzani nchi kama kenya, hali sijui ingekuwaje
 
Hii ni hatari na aibu kubwa kwa tume yetu ya uchaguzi.
IMG_0161.jpg

IMG_0162.jpg
 
Ila mbona wataka potosha umaa hii form inasema kabisa ni form ya wadhamini kwa ajili ya ugombea udiwani ambayo walojaza ni wanaoomba kugombea udiwani wakiwa wanatafuta wadhaminj na sio daftari la wapiga kura hivyo waliokosea kunakiri ni hao hao wanaoomba udhamini. Kwanini unapotosha?

Hii ndio inasababisha mnaitwa nyumbu na naona watu chini wanasupport bila kusoma acheni kujitengenezea matukio sasa naelewa kwanini ccm wanapita bila kupingwa sababu kama hizi
 
Kweli hawa ni Nyumbu, fomu ya udhamini imekuwa daftari la wapiga kura ya Tume. Ndiyo maana wagombea wao wanawekewa mapingamizi sababu ya ujinga huu.
 
Dah hizi hujumu ipo siku zitafika tu ukomo, hakuna kitu kisicho na mwisho
 
Ila mbona wataka potosha umaa hii form inasema kabisa ni form ya wadhamini kwa ajili ya ugombea udiwani ambayo walojaza ni wanaoomba kugombea udiwani wakiwa wanatafuta wadhaminj na sio daftari la wapiga kura hivyo waliokosea kunakiri ni hao hao wanaoomba udhamini. Kwanini unapotosha?

Hii ndio inasababisha mnaitwa nyumbu na naona watu chini wanasupport bila kusoma acheni kujitengenezea matukio sasa naelewa kwanini ccm wanapita bila kupingwa sababu kama hizi

Tunashukuru kwa utetezi wako, ila taka usitake idadi ya wapiga kura ya 29m+ ni ya kupika. Watanzania tuko 59m+, hakuna uwezekano wowote nusu yake wakawa wamejiandikisha kupiga kura. Na lengo la kupika hiyo idadi ni ili kupika matokeo ya kuinufaisha ccm. Kwa msisitizo huu huu ulionyesha hapa, waambie tume kuwa tunajua fika hiyo idadi ya wapiga kura ni ya kupika.
 
Back
Top Bottom