Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yatuhumiwa kubadilisha namba za Wapiga kura ili wakose haki ya kupiga kura

Mkuu mimi issue ya wapiga kura wapo wangapi kwa kweli sifahamu ni jukumu la vyama vya siasa kufatilia hilo
 
Nafikiri watanzania lazima tufanye kitu huu ushenzi umezidia sasa.
 
Namba za tume kuandikwa kwa mkono kweli
 
saivi ni matokeo ya NEC 18 na upinzani 0, apo bado policcm na CCM yenyewe mwaka huu upinzani atarudi MSIGWA tu bungeni
 
Msisitizo wangu ni ule ule, hawa watu wanatakiwa kuwajibishwa!
Nategemea chadema sasa mtaamka, ninyi na watanzania kwa ujumla, siku wakiwa ardhini kama 700 au 1000 hivi akili zitawarudia, watanzania wataheshimiana.
 

Aliyefanya hivi anatakiwa afungwe.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…