Sasa lile povu lilikua linawatoka tume juzi lilikua la nini? Hatuna tume ya uchaguzi nchi hii bali tume ya uchafuzi ya chama tawala ccm!1. Ushetu - Elias Kwandikwa
2. Kongwa - Job Ndugai
3. Gairo - Ahmed Shabiby
4. Kilosa - Palamagamba Kabudi
5. Mvomero - Jonas Van Zeeland
6. Morogoro Kusini - Kalogereris Innocent
7. Morogoro Mashariki - Taletale Hamis Shabani
8. Mlele - Eng. Isaack Kamwelwe
9. Kavuu - Geofrey Pinda
10. Songwe - Philipo Mulugo
11. Bukene - Zedi Jumanne
12. Nzega Vijijini - Hamis Kigwangalla
13. Ruangwa - Kassim Majaliwa
14. Mtama - Nape Nnauye
15. Namtumbo - Vita Kawawa
======
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUTEULIWA WAGOMBEA PEKEE WA UBUNGE KATIKA UCHAGUZI MKUU WA 2020 #uchaguzimkuu2020
View attachment 1551101View attachment 1551102
Yaani unafananisha kupendwa kwa Lowassa na Upunzani wa mwaka huu.Lowassa pamoja na uzito wake wa kushindwa kujieleza jukwaani aliweza kupata kura nyingi kumzidi Magufuli.
Baada ya tume kupindua matokeo ndipo jamaa yenu akatangazwa mshindi,mwaka huu mnalo.
Unasubiri kuambiwa?Kama vyama vya upinzani kesho havitatoa tamko nitawaona hamna kitu. Hii tume ya kiboya kweli siku watu wakichoka wataenda barabarani wao..
.
Semeni kitu basi kesho. nimeandaa begi na mikate ya kutosha na maji ya kutosha tutalala barabarani. Kuna watu hii nchi kama yao vile
Manano ya kubumba bumba, na mwaka huu mtayaita maji - Mmaa.Lowassa pamoja na uzito wake wa kushindwa kujieleza jukwaani aliweza kupata kura nyingi kumzidi Magufuli.
Baada ya tume kupindua matokeo ndipo jamaa yenu akatangazwa mshindi,mwaka huu mnalo.
Ndio maana yake, unauliza makofi polisi.Dah hii ni hatar sana,inamaana wagombea wa ccm wajua zaid kujaza fomu ya uchaguzi kuliko vyama vingine? Hii hujuma hata mpumbavu anajua tu kuwa kunamchezo umechezwa
Upuuzi huu unapatikana Tanzania tuHii nchi hatuko serious aisee
Upuuzi huu unapatikana Tanzania tu
Wengine wameuza mkuu wapinzani ni kituko sana wanateuluwa halafu wanaachwa yatima kwa hiyo akitokea mtu wa kumpa japo 5m si bora a uchukue alale mbeleMorogoro kunani?! Majimbo matano ni mengi sana kuachiwa kirahisi hivi.
Ndio uzembe huo. Walikua wanafanya nini wakati wote hadi wanaanza kujenga chama wakati wa kampeni....Makamanda KOMAENI NA MCHANGISHANE PESA, Chama hali ya kipesa mbaya sana,
Mkoa karibia mzima wa morogoro Kuna kupita bila kupingwa. Mkoa huu wenyeji wake wanatakiwa kufanyiwa utafiti wa uwezo wao wa kufikiri,elimu zao, maendeleo Yao,uchumi wao na namna wanavyoowana na ikiwezekana dini zao.kuna tatizo morogoro1. Ushetu - Elias Kwandikwa
2. Kongwa - Job Ndugai
3. Gairo - Ahmed Shabiby
4. Kilosa - Palamagamba Kabudi
5. Mvomero - Jonas Van Zeeland
6. Morogoro Kusini - Kalogereris Innocent
7. Morogoro Mashariki - Taletale Hamis Shabani
8. Mlele - Eng. Isaack Kamwelwe
9. Kavuu - Geofrey Pinda
10. Songwe - Philipo Mulugo
11. Bukene - Zedi Jumanne
12. Nzega Vijijini - Hamis Kigwangalla
13. Ruangwa - Kassim Majaliwa
14. Mtama - Nape Nnauye
15. Namtumbo - Vita Kawawa
View attachment 1551183
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk.Wilson Mahera (katikati) akizunghumza na waandishi wa Habari katika ofisi za Tume Njendengwa Jijini Dodoma leo ambapo ametangaza majimbo 18 ya uchaguzi ambayo wagombea wake wamepita bila kupingwa. Kushoto ni Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpigakura, Givness Aswile na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Habari na Elimu ya Mpigakura, Dk. Cosmas Mwaisobwa.
======
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUTEULIWA WAGOMBEA PEKEE WA UBUNGE KATIKA UCHAGUZI MKUU WA 2020 #uchaguzimkuu2020
View attachment 1551101View attachment 1551102