Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Katika taarifa yenu ya tarehe 11 September 2020, kipengele namba i Imekubali rufaa 34, kata ta Kamgambo (Karagwe) imetajwa mara mbili. Rekebisheni kosa hilo maana yawezekana mlikusudia kutaja kata nyingine iliyo Karagwe na hivyo muhusika wa kata hiyo (Kamagambo ya pili} hajajulishwa
au soma link https://www.nec.go.tz/uploads/documents/sw/1599851004-TAARIFA KWA UMMA 11 SEPTEMBA 2020.pdf
au soma link https://www.nec.go.tz/uploads/documents/sw/1599851004-TAARIFA KWA UMMA 11 SEPTEMBA 2020.pdf