Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Tume ya Taifa ya uchaguzi (sina hakika kama ni HURU) mara zote tangu uchaguzi wa mwaka 2000, imekuwa kama ni sehemu ya wawezeshaji muhimu kwa CCM kushinda uchaguzi.
Watu wanaoheshimika wenye hadhi ya ujaji, hufanya mambo ya hovyo yanayowaaibisha ili mradi tu CCM ishinde uchaguzi.
Kuzuia utoaji fomu, kuengua kinyume cha Sheria wagombea/mawakala wa CHADEMA, kuwa na karatasi za hovyo za kupigia kura, na uchaguzi mwingine mwingi tu.
Kitendo alichofanya huyu refarii kinafanana kabisa na tabia ya Tume ya Uchaguzi Tanzania.