jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Ulinzi wa mtu na mali zake ni jukumu linaloanzia kwa mtu mwenyewe baadaye jamii na kisha vyombo vya kiserikali.
Jukumu hili ni la msingi kikatiba, na kwa umuhimu wake naona ni vema Tume ya Uchaguzi NEC na ZEC zikawa bega kwa bega na Wananchi katika kuhakikisha wezi wa kura hawapati nafasi ya kutekeleza wizi wao.
Kwa kuwa CCM inawachukia hao wezi wa kura, naamini sio tu watalifurahia wazo hili bali watapenda tume ilitumie kikamilifu.
Vyombo vya Ulinzi na Usalama vinatokana na wananchi hivyo basi kuwa navyo bega kwa bega kuzilinda kura hakika wezi wa kura hawatapata nafasi ya kujipenyeza kwenye box la kura.
Watakaopinga wazo hili ni wafaidika wa wizi wa kura.