kaka kama hujui mambo ya IT ni vema kunyamaza, Server ni computer inayotunza kumbukumbu sio mtu kama ulivyoelewaTayari hapo wameshikwa pabaya! Si muda tutaskia unatakiwa kurudiwa, eti seva yuko ulaya.! Huyo ndio alihaki mtandao na kuongeza matokeo!
Tayari hapo wameshikwa pabaya! Si muda tutaskia unatakiwa kurudiwa, eti seva yuko ulaya.! Huyo ndio alihaki mtandao na kuongeza matokeo!
Hata ikiwa Ulaya bado unaweza ku-access iwapo utaruhusiwa
bashite tuliza!Elimu duni ni janga.