Tume ya Uchaguzi Kenya yadai server ya matokeo iko Ulaya! Tume inataka kuficha nini?

Tume ya Uchaguzi Kenya yadai server ya matokeo iko Ulaya! Tume inataka kuficha nini?

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
9,524
Reaction score
13,682
Hii imekaaje?! Tume ya uchaguzi ya Kenya imekataa kuwaruhusu wataalm wa Odinga (NASA) kukagua computer yao kwa madai kuwa server yao iko Ulaya! Hii ni kinyume na amri ya Mahakama ya Rufaa iliyowataka Tume kuwaruhusu NASA kukagua computer hizo!

My take: Tume inataka kuficha nini?
 
Tayari hapo wameshikwa pabaya! Si muda tutaskia unatakiwa kurudiwa, eti seva yuko ulaya.! Huyo ndio alihaki mtandao na kuongeza matokeo!
 
Back
Top Bottom