Tume ya Uchaguzi Kenya yadai server ya matokeo iko Ulaya! Tume inataka kuficha nini?

Tume ya Uchaguzi Kenya yadai server ya matokeo iko Ulaya! Tume inataka kuficha nini?

Mlivamia kila kitu na kuharibu kila raslimari ya wapinzani.....kenya hawajafanya ushenzi huo.

..kila mmoja kajihesabia kura zake

..,Makama ipo huru kuamua ikitakacho

...,Ambaye hajaridhika kaenda mahakamani

Ccm ushenzi mtupu na walinzi wenu....wizi tu
wewe hata hujui usemacho sever za NASA ziliibwa na office kuvunjwa
 
Computer generated Leaders. Niliingia kwa website ya IEBC masaa machache baada ya kura kuanza kuhesabia na Kenyatta was leading at 54.1%. Hii winning rate haikubadilika mpaka mwisho. Ni kama vile kulikuwa na ka computer aligorithm kanakocompute results

You mean. Like this



Or this;

 
Africa haina data centre za maana. Ata website hii ya Jamii niko sure inahostiwa na kampuni ya ulaya.
Na ilivyofanya IEBC kuhost system yao na makampuni za USA na France ni muhimu kwa vile najua siasa za Kenya, watu wangesema ati zikiwa Kenya serikali ina uwezo wa kuinfluence.
Ata ballot paper ilisemekana ziprintiwe nje ya nchi (Dubai).
In any case, server in this case haina maana. Ilikuwa ya trasparency pekee yake. Lakini results zote zilitangazwa baada ya makaratasi yote kukusanywa na kujumulishwa.
Yeah, that is the point. Why dwelling on how the forms were transmitted electronically while they have already counter checked with the original forms?
 
Wachangiaji wengi hawajishishughulishi kufatilia kinacho endelea Kenya hasa baada ya uchaguzi
TV ya citizens inaonyesha LIVE mtililiko wa hizi Kesi na maelezo ya mleta UZI ni kuwa baada ya shahidi wa tume kuhojiwa ndo alieleta maelekezo haya..
 
Walichotakiwa kukifanya NASA ni kukagua mfumo wa kupokelea na kutangazia matokeo na kujiridhisha kama haukuingiliwa!
Mapema wakati wa kumalizia kuwasilisha madai yao, nimemuona na kumsikiliza wakili wa NASA akikiri kuruhusiwa kufanya ukaguzi huo ingawa amedai kutokana mfumo huo kuwa strong na masuala ya kuzuia kudukuliwa, iliwachukua muda kuweza kuingia kwenye mfumo na kukagua,na matokeo hawakuona dalili za kudukuliwa matokeo!

Suala la kutaka kukagua server sio jambo waliloelekezwa na mahakama kulifanya!
Ikumbukwe kwamba systems kubwa kama hizi za uchaguzi kwa kiasi kikubwa huwa zinaandaliwa, kusimamiwa kwa ukaribu sana na watengenezaji wa system husika! Suala la server ya Tume ya uchaguzi Kenya kuwa ulaya ni jambo la kawaida! Inategemea na walivyoamua wao!

Ukweli tume ya uchaguzi Kenya imetoa ushirikiano mkubwa sana kwa wadai ambao ni NASA, hili hawawezi kulipinga. Na kuna uwezekano mkubwa sana Raila akashindwa kesi hii kwani madai yao mengi yanajikita katika kasoro ndogo ndogo sana ambazo kiuhalisia haziwezi kusababisha uchaguzi kurudiwa!

Raila alimalizwa na waangalizi wa Kimataifa ambao comments zao wote zilisifia mwenendo wa uchaguzi na matokeo yake!
Changamoto ipo kwa tume yetu ya uchaguzi Tanzania, ukweli ni kwamba kwa kulinganisha na Kenya, tume yetu inabaki kuwa Tume ya uchaguzi mbovu kabisa kwa jinsi inavyojiendesha!
Yetu ni tume ambayo kwa kiasi kikubwa ilikalili matokeo kutoka katika midomo ya akina January na Nauye!
Ni aibu!
Nadhani baada ya hukumu ya mahakama sasa umeelewa hoja za NASA kuwa zina mashiko!!
 
Tafadhali usikuwe mtu wa kueneza fake news.
IEBC haikukataa kuwarusu Nasa server. Ilhali kulikuwa na delays kwa sababu ya complexity na time difference.
Kampuni iliyo pewa kandarasi ya kutengeneza na maintenance ya system iko USA. Server nazo ziko France.

Ili Nasa na Jubilee wapewe access, kulikuwa na technical aspects ambazo lazima zitimizwe.
Kumbuka hii ni system itakayo tumiwa kwenye chaguzi zingine. Lazima ibaki na integrity. Yaani, hawa experts wa Nasa na Jubilee wasiweze kuisome venye wanaweza kuhack in future.
Nadhani process ya kuwafungulia mlango bila kuacha system uchi ni complicated.
Ona sasa ulivyovuliwa nguo mchana kweupe!!
 
Back
Top Bottom