K Kilasi Mkuu JF-Expert Member Joined Nov 25, 2013 Posts 2,325 Reaction score 723 Mar 24, 2023 #1 Tume ya uchaguzi na sheria za uchaguzi itafumuliwa kwenda sawana mazingira ya Sasa anesema waziri washeria na katiba
Tume ya uchaguzi na sheria za uchaguzi itafumuliwa kwenda sawana mazingira ya Sasa anesema waziri washeria na katiba
Mjukuu wa Magika JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 550 Reaction score 1,071 Mar 24, 2023 #2 Wabunge CCM wajiandae kubeba vilago 2025
Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 17,048 Reaction score 22,790 Mar 24, 2023 #4 Kilasi Mkuu said: Tume ya uchaguzi na sheria za uchaguzi itafumuliwa kwenda sawana mazingira ya Sasa anesema waziri washeria na katiba Click to expand... Unaweza kukuta wanaondoa fimbo na kuweka rungu; usijipe matumaini mpaka uone matokeo yake.
Kilasi Mkuu said: Tume ya uchaguzi na sheria za uchaguzi itafumuliwa kwenda sawana mazingira ya Sasa anesema waziri washeria na katiba Click to expand... Unaweza kukuta wanaondoa fimbo na kuweka rungu; usijipe matumaini mpaka uone matokeo yake.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Mar 24, 2023 #5 πππ Waziri ndio Katiba mpya?!!
Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Mar 24, 2023 #6 Kilasi Mkuu said: Tume ya uchaguzi na sheria za uchaguzi itafumuliwa kwenda sawana mazingira ya Sasa anesema waziri washeria na katiba Click to expand... Huwa siamini sana kwenye makubaliano ya aina hii bila machafuko. Zanzibar kulikuwa na maridhiano, lakini kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2015 kila mtu aliona.
Kilasi Mkuu said: Tume ya uchaguzi na sheria za uchaguzi itafumuliwa kwenda sawana mazingira ya Sasa anesema waziri washeria na katiba Click to expand... Huwa siamini sana kwenye makubaliano ya aina hii bila machafuko. Zanzibar kulikuwa na maridhiano, lakini kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2015 kila mtu aliona.