Pre GE2025 Tume ya Uchaguzi kupunguza majimbo ya Zanzibar, itawakilishwa na wabunge 5 au 6

Pre GE2025 Tume ya Uchaguzi kupunguza majimbo ya Zanzibar, itawakilishwa na wabunge 5 au 6

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Heshima sana wana jamvi.

Tume inayojiita tume huru imetangaza mchakato wa kugawa majimbo ya uchaguzi.

Vigezo vikuu ni idadi ya watu na ukubwa wa eneo.

Majimbo ya mijini idadi ya watu itakuwa kuanzia watu 600,000 huku majimbo ya Vijijini idadi ya watu itakuwa kuanzia 400,000.

Idadi ya jumla yawatu wa Zanzibar ni 2 million tu.

Soma Pia: Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuanza mchakato wa kugawa na kubadili Majina ya Majimbo kuanzia Februari 27, 2025

Tukitumia vigezo vya vijijini yaani watu 400,000 maana yake Zanzibar itakuwa na wabunge 5 tu au wakipendelewa basi hawatazidi wabunge 6 tu.

Ngongo kwasasa Ikwiriri.
 
Back
Top Bottom