Pre GE2025 Tume ya Uchaguzi kuwa Tume Huru ya Uchaguzi, Itakuwa Huru Kweli au ni Jina tu? Ukiomba Mambo 10 Ukapewa 1, Shukuru kwa Hilo 1. Asante kwa INEC!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kazi kweli kweli.

Inashangaza sana.

Hivi Kwanini watu wa Serikalini wakitoka kwenye ziara wanasema 'tumepata wawekezaji' kwa nini wasiseme tumepata "Wageni" au "Wazungu" au "Wahindi" au "Waarabu"?

Mathalan wametokea Uarabuni, utasikia 'Tumepata "Wawekezaji' ' wakitoka India, 'Tumepata "Wawekezaji" ' Kwanini hawasemi, tumepata Waarabu ama tumepata Wahindi?

...halafu Watanzania wanaitwa "Wafanya biashara" ama Wazawa? nini huwa ni tofauti hapa?

Nini maana ya Public Private Partnership?

Samahani nimetoka nje ya mada.

Nimewaza kwa nguvu tu
serikali haina mentality ya kibaguzi...

muwekezaji ni muwekezaji tu na mfanyabiashara ni mfanyabiashara tu awe ametoka Africa, Asia Ulaya au Marekani...

Rangi, kabila au dini yake abaki navyo mwenyewe tu, hivyo si muhimu sana na wala havizingatiwi humu nchini katika uwekezaji au biashara 🐒

so,
ubaguzi kwenye biashara au uwekezaji hauna tija yoyote 🐒
 
Wanabodi
Haya ni mapendekezo yangu kwa miswada mitatu ya sheria ya uchaguzi, Sheria ya vyama vya siasa na Tume ya uchaguzi.

View: https://youtu.be/3a4SjkV46JY?si=lqufL6e34DyB2Gjr
Nilipendekeza
1. Sheria yetu ya uchaguzi tunayoitunga, ifuate katiba ya JMT ibara ya 5 na Ibara ya 21.
2. Ibara ya 5 ni Haki ya kila Mtanzania kuwa huru kumchagua kiongozi anayemtaka.
3. Ibara ya 21 ni Haki ya kila Mtanzania kuwa huru kugombea na kuchaguliwa kuwa kiongozi.
4. Tufanye mabadiliko madogo ya katiba kuondoa ubatili kwenye ibara ya 39 na 67, uliochomekewa kiubatili ndani ya katiba yetu.
5. Turudishe haki za Mtanzania zilizoporwa za kuchagua na kuchaguliwa.
6. Tume ya uchaguzi iitwe Tume Huru na Shirikishi ya Uchaguzi
7. Uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ufanyike siku moja.
8. Chaguzi zote mbili zisimamiwe na Tume moja Huru na Shirikishi ya Uchaguzi.
9. Uongozi wa vyama vya siasa, sio ajira!, ni uongozi wa kujitolea, viongozi wa vyama vya siasa hawapaswi kulipwa mishahara, ni posho tuu!.
10. Tuifute ruzuku kwa Vyama vya Siasa na badala yake tutoe ruzuku kwa yatima, wajane, wazee, wasiojoweza na wenye ulemavu.

Leo serikali imetoa taarifa ya kukubalika rasmi pendekezo moja View attachment 2959888

Japo mapendekezo yangu mengine yote yamekataliwa, ukiomba mambo 10, mambo 9 yakakataliwa, jambo moja likakubaliwa, hatua ya kwanza ni kushukuru na kupongeza kwa hilo moja lililokubaliwa, halafu uendelee kupigania yale 9 yaliyobakia yaliyo kataliwa.

Pongezi serikali yetu sikivu kubadili jina la Tume ya Uchaguzi kuwa Tume Huru ya Uchaguzi. Naomba sana lisiwe ni jina tuu, lakini mambo yakawa ni yale yale!, sote tumeshuhudia kilichotokea Zanzibar ile 2015, ZEC ni Tume huru na Shirikishi lakini kilichotokea... Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda

Hivyo naipongeza sana serikali yetu sikivu kukubali kubadili jina la Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC, kuwa Tume Huru ya Uchaguzi, INEC, swali kama Itakuwa Huru Kweli au ni Jina Tuu bado lipo mpaka tuushuhudie huo uhuru!. Ukiomba Mambo 10 Ukapewa 1, Shukuru kwa Hilo 1. Asante sana serikali yetu kwa INEC!. Yale 9 yaliyobakia, kazi inaendelea na ikibidi, kuna watu watabisha hodi mahakamani!.

Nimalizie kwa kuendelea kusisitiza Watanzania tuwe ni watu wa shukrani, tushukuru kwa madogo ili tuweze kujaaliwa makubwa!.

Mungu Ibariki Tanzania

Paska

Paskali

Pombe ya Gongo tubadili jina tuiite Whisky aina ya John Walker. Tutaanza kui export Dunia yote na kuingiza fedha za kigeni.
 
Huko mahakamani nenda ww maana unasema umesomea Sheria, wala usiseme ikibidi Kuna watakaoenda mahakamani. Mimi na baadhi ya wengine tunaamini kwa hapa tulipofikia hakuna mabadiliko ya kweli bila machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi. Hizo nyingine ni porojo za kawaida unaleta.

Mtu mjinga, au anayefaidika na hizi chaguzi za kishenzi ndio ataendelea kujitokeza kushiriki kwenye huo upuuzi uitwao uchaguzi.

Cc Tlaatlaah Proved
ukiona umeanza kuwaza vibaya ujue utimamu ktk ufahamu wako umeshake kidogo. Ni ama uhame mazingira unayoishi sasa huenda ni chanzo cha hali yako hiyo, au uachane kabisa na kundi ulilopo maana mtakua mko kwenye kiwango kibaya sana cha kukata tamaa na kupeana matumaini hewa, ya kuwaumiza wenyewe.
And that approaches you to a bad end🐒

Na kwa mentality hiyo, unajihisi wewe pamoja na wenzio mnaopitia hali hiyo ya kukata tamaa ni wanajeshi 🤣

kumbe mnavyovitumia kula , kuvuta au kunywa, vinawavuruga akili na vinawatumbukiza kwenye utumwa mzito sana potofu wa kifikra ambao, kwakweli ni fedheha kwako mwenyewe, familia na pengine chama ambacho huenda kimekupotosha kwasababu ya ulegevu na uvivu wako ktk kazi na kufikiri vizuri, kikaona kikusakazie wewe 🐒

eti mapinduzi ya kijeshi akati maandamano haramu ya jogging tu ulikula kona 🤣

Eid Mubarak 🌹
 
Zama zimebadilika dogo, usitegemee kiwango Cha wajinga kitaendelea kubaki kilekile, ni aidha machafuko ama mapinduzi ya kijeshi Ili kupata mabadiliko ya kweli. Ila hiyo tume huru jina, mtaendelea kuchota wajinga mliobaki nao.
 
endeleni kuvuta na kunywa vinavyowafanya mjione wanajeshi 🤣

halafu muone mihemko na matusi yenu yanavyowageukia wenyewe 🤣

serikali inafanya mabadiliko kadiri inavyoona inafaa, na sio kwasabb ya kukufurahisha wewe na wenzio, lahasha,
mabadiliko haya ni kwa maslahi mapana ya waTanzania na Taifa kwa ujumla, whether you like or not 🐒

Tunao uchaguzi mapema mwishoni mwa 2024-Tamisemi, na vilevile tutakua na uchaguzi mkuu mwaka ujao 2025, ambao Tume Huru ya Uchaguzi itausimamia kikamilifu kwa uwazi, uhuru na kwa haki 🐒

wenye Imani haba hamlazimishwi kushiriki, na kwa imani yenu kidogo, uchaguzi utakua umekwisha ndipo mtakuja kujilaumu na kuthibitisha kwamba uchaguzi ulikua huru haki na wa wazi 🤣
 
Wanabodi
Haya ni mapendekezo yangu kwa miswada mitatu ya sheria ya uchaguzi, Sheria ya vyama vya siasa na Tume ya uchaguzi.

View: https://youtu.be/3a4SjkV46JY?si=lqufL6e34DyB2Gjr
Nilipendekeza
1. Sheria yetu ya uchaguzi tunayoitunga, ifuate katiba ya JMT ibara ya 5 na Ibara ya 21.
2. Ibara ya 5 ni Haki ya kila Mtanzania kuwa huru kumchagua kiongozi anayemtaka.
3. Ibara ya 21 ni Haki ya kila Mtanzania kuwa huru kugombea na kuchaguliwa kuwa kiongozi.
4. Tufanye mabadiliko madogo ya katiba kuondoa ubatili kwenye ibara ya 39 na 67, uliochomekewa kiubatili ndani ya katiba yetu.
5. Turudishe haki za Mtanzania zilizoporwa za kuchagua na kuchaguliwa.
6. Tume ya uchaguzi iitwe Tume Huru na Shirikishi ya Uchaguzi
7. Uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ufanyike siku moja.
8. Chaguzi zote mbili zisimamiwe na Tume moja Huru na Shirikishi ya Uchaguzi.
9. Uongozi wa vyama vya siasa, sio ajira!, ni uongozi wa kujitolea, viongozi wa vyama vya siasa hawapaswi kulipwa mishahara, ni posho tuu!.
10. Tuifute ruzuku kwa Vyama vya Siasa na badala yake tutoe ruzuku kwa yatima, wajane, wazee, wasiojoweza na wenye ulemavu.

Leo serikali imetoa taarifa ya kukubalika rasmi pendekezo moja View attachment 2959888

Japo mapendekezo yangu mengine yote yamekataliwa, ukiomba mambo 10, mambo 9 yakakataliwa, jambo moja likakubaliwa, hatua ya kwanza ni kushukuru na kupongeza kwa hilo moja lililokubaliwa, halafu uendelee kupigania yale 9 yaliyobakia yaliyo kataliwa.

Pongezi serikali yetu sikivu kubadili jina la Tume ya Uchaguzi kuwa Tume Huru ya Uchaguzi. Naomba sana lisiwe ni jina tuu, lakini mambo yakawa ni yale yale!, sote tumeshuhudia kilichotokea Zanzibar ile 2015, ZEC ni Tume huru na Shirikishi lakini kilichotokea... Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda

Hivyo naipongeza sana serikali yetu sikivu kukubali kubadili jina la Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC, kuwa Tume Huru ya Uchaguzi, INEC, swali kama Itakuwa Huru Kweli au ni Jina Tuu bado lipo mpaka tuushuhudie huo uhuru!. Ukiomba Mambo 10 Ukapewa 1, Shukuru kwa Hilo 1. Asante sana serikali yetu kwa INEC!. Yale 9 yaliyobakia, kazi inaendelea na ikibidi, kuna watu watabisha hodi mahakamani!.

Nimalizie kwa kuendelea kusisitiza Watanzania tuwe ni watu wa shukrani, tushukuru kwa madogo ili tuweze kujaaliwa makubwa!.

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali
Rejea za Mwandishi Kuhusu Sheria Hizi.

We ni kubwa jinga a.k.a kilaza
 
endeleni kuvuta na kunywa vinavyowafanya mjione wanajeshi 🤣

halafu muone mihemko na matusi yenu yanavyowageukia wenyewe 🤣

serikali inafanya mabadiliko kadiri inavyoona inafaa, na sio kwasabb ya kukufurahisha wewe na wenzio, lahasha,
mabadiliko haya ni kwa maslahi mapana ya waTanzania na Taifa kwa ujumla, whether you like or not 🐒

Tunao uchaguzi mapema mwishoni mwa 2024-Tamisemi, na vilevile tutakua na uchaguzi mkuu mwaka ujao 2025, ambao Tume Huru ya Uchaguzi itausimamia kikamilifu kwa uwazi, uhuru na kwa haki 🐒

wenye Imani haba hamlazimishwi kushiriki, na kwa imani yenu kidogo, uchaguzi utakua umekwisha ndipo mtakuja kujilaumu na kuthibitisha kwamba uchaguzi ulikua huru haki na wa wazi 🤣
🌈 Pelekea watoto wenzio huu utoto, zama za ccm kukaa madarakani kihalali zimeshapita. Maslahi mapana ya Taifa sio maslahi mapana ya majizi ya ccm. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yataleta mabadiliko ya kweli. Hapo ndio mtajua Kila jambo lina mwisho wake.
 
mnywe visungura na mvute huo moshi vizur sana wa kutosha ili mjiskie kweli nyie ni makamanda wa jeshi la manyumbu 🤣

eti mwisho wake,
labda mwisho wa makamanda wa mihemko, kuzira , kugoma na kususa 🐒
 
serikali haina mentality ya kibaguzi...

muwekezaji ni muwekezaji tu na mfanyabiashara ni mfanyabiashara tu awe ametoka Africa, Asia Ulaya au Marekani...

Rangi, kabila au dini yake abaki navyo mwenyewe tu, hivyo si muhimu sana na wala havizingatiwi humu nchini katika uwekezaji au biashara 🐒

so,
ubaguzi kwenye biashara au uwekezaji hauna tija yoyote 🐒
Tla,
Mada haizungumzii Ubaguzi, na kwa msingi huo, sikuwa nimeashiria ubaguzi ama kukusudia kuuleta ubaguzi wa aina yeyote ule. Hiyo mentality ya kibaguzi umeitoa wapi?

Of all people I do not shy away to call a spade a spade-sio hapo.

Hilo pembenni.

Jibu lipo kwenye Bold

Umejaribu kufikiria kuwa kuna mgongano wa Lugha?
 
IMG-20240409-WA0000.jpg
 
Zama zimebadilika dogo, usitegemee kiwango Cha wajinga kitaendelea kubaki kilekile, ni aidha machafuko ama mapinduzi ya kijeshi Ili kupata mabadiliko ya kweli. Ila hiyo tume huru jina, mtaendelea kuchota wajinga mliobaki nao.
Kwa maoni yangu ujinga na wajinga wanaendelea kuongezeka! Hivyo changamoto ni kuwafanya hawa wajinga ambao wanajifanya werevu kuelimika!
 
Nijuavyo mimi ni kwamba, Katiba ya nchi ndiyo "Sheria Mama" ambayo huwezesha kutungwa kwa sheria nyingine zote, kwa hivyo sasa hivi KATIBA YA JMT haina ibara au kipengele kilichoandikwa "TUME HURU YA UCHAGUZI"
Bali kuna kipengele kilichoandikwa "TUME YA UCHAGUZI"
Kwa ujumla hilo jina jipya la tume, ni kutudanganya Watanzania wote.
Inatakiwa tupate KATIBA MPYA INAYOTOKANA NA MAONI YA WANANCHI KISHA MASUALA YA TUME YATAJITENGENEZA YENYEWE
 
Back
Top Bottom