Elections 2010 Tume ya uchaguzi na mtandao wa matokeo

Elections 2010 Tume ya uchaguzi na mtandao wa matokeo

Mtembezi

Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
43
Reaction score
0
BREEEAKING NEWS,,,,,,,,Hadi wakati huu Mitandao ya kutuma matokeo ya tume ya taifa ya uchaguzi haijetengamaa
 
Tumemuomba MUNGU kwa kulia na kuomboleza atautia upofu ufahamu wao wale wote wanaopanga kuharibu matokeo mpaka hapo uchaguzi utakapokwisha na matokeo kutangazwa.KUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU MBARIKI YULE ULIYEMTEUA KUWA RAISI WA KIZAZI KIPYA
 
Mungu, yu kazini anatenda kazi yake... Mbinu zao zote chafu hazitafanikiwa.
 
Tumemuomba MUNGU kwa kulia na kuomboleza atautia upofu ufahamu wao wale wote wanaopanga kuharibu matokeo mpaka hapo uchaguzi utakapokwisha na matokeo kutangazwa.KUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU MBARIKI YULE ULIYEMTEUA KUWA RAISI WA KIZAZI KIPYA
Amina.
 
Kuna mwenye taarifa zozote kuhusu website ya NEC ina matatizo gani?
 
watachakachua sana lakini ukweli utabaki pale pale kuwa CCM haina tena nafasi katika siasa za Tanzania. Miaka 50 inawatosha.
 
Maandamano.jpg
 
Sio NEC tuu kuanzia iKULu ni blah blah tuu kama hizi,sababu tosha kabisa ya kuwaondoa hawa mafisadi..cha ajabu wengi hawaoni.
 
Back
Top Bottom