Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi, NEC ilikuwa kimya kwa TLP na UDP kuiunga mkono CCM iwe kimya pia kwa ACT-Wazalendo

Tayari msajili ameshapeleka barua ACT na amejibiwa sasa ana khiari ya kufanya atakavo lakini wasifikiri watu wata nyamaza kimya.

Nchi hii itaingia kwa michafuko mikubwa ikiwa NEC na ZEC hawata rekebisha dhulma walizo fanya.
 
Bavicha kwa kulalamika hamjambo, utafikiri mbumbumbu fulani hivi!
Tume ilishaeleza siku nyingi hatua iliyochukua dhidi ya TLP na UDP kwa makosa hayo. Please kabla hamjaanza kulalamika mitandaoni muwe kwanza mnafuatilia kwa wahusika
Dah! Hiyo sio kazi ya tume bali ni ya msajiri, sasa sijui hapo "mbumbumbu"ni nani
 
Hii NEC ya awamu hii ni ya ................. sijapata kuona endapo hapa mwanzoni imeanza kuyumba namna hii huko mbeleni itakuwaje
 
Chama cha siasa siyo mali ya mtu binafsi ni cha wanachama lazima wanachama waridhie, waache kuendesha vyama ki saccos, tumeona ruzuku ya chadema imetafunwa bila ridhaa ya wanachama. Wafuate sheria walizosaini wenyewe


Hata MGOMBEA wa URAIS, UBUNGE na UDIWANI ana HAKI ya kumuunga MKONO (KUMKUBALI) MGOMBEA yeyote na wa chama chochote ili MRADI anaona anatoshea kwenye NAFASI anayogombea.

MAONI BINAFSI HAYAHITAJI MKATABA.

Je, Wananchi wa Dodoma wakiungana na Wananchi wa Geita kumchagua Mgombea wa ccm wanatakiwa kuwa na MKATABA UNAO FAHAMIKA NA TUME?

NA KINYUME CHAKE PIA.
 
Tayari msajili ameshapeleka barua ACT na amejibiwa sasa ana khiari ya kufanya atakavo lakini wasifikiri watu wata nyamaza kimya.

Nchi hii itaingia kwa michafuko mikubwa ikiwa NEC na ZEC hawata rekebisha dhulma walizo fanya.

Hawa mafisadi na wezi wanaonufaika na CCM na serikali yake kupitia umungu waliompa mtu mmoja ili agawe riziki kwao na kwa familia zao wamejisahau kabisa kuwa wao ni binadam kama binadam wengine.
Wamejipa mamlaka makubwa kama vile wao ndio walioiumba hii nchi. Laana ya Damu ya Habili,Sokoine,Karume,Horace Kolimba, Mtikila, Deo Filikunjombe, Alfonce Mawazo, Gwanda ,Akwilini,Mwangosi, Ben Saanane, Dr. Mvungi, na Wazanzibar wengi waliouawa mwaka 2001 ziww juu yao .Laana za hawa binadam waliouawa kwa sababu ya wivu wa madaraka ziwe juu yao na famila zao zinazonufaika na uovu wao ili kumfurahisha mteuzi wao

Sasa basi
 
Wewe ni muongo wa kujikombakomba, msajili wa vyama kasema kuwa kawalima pia TLP barua kwa kumuunga mkono Magu,
Muongo pia mpuuzi wa kiwango cha juu wewe pia hasara kwa ustawi wa nchi na ukafie mbele.
 
NEC ni chombo cha JPM kama lilivyo bunge na mahakama
 
Membe anatejeleza maagizo na kazi aliyotumwa.
Matunda yake ni hii 'red herring' kupotosha wapigakura wasiojielewa
 
Tume na msajili wana kazi ya kutuonyesha barua zilizoandikiwa CCM, UDP na TLP kuonywa kuhusu kushirikiana kwenye kampeni. CCM haikulalamika Wala kukataa kuungwa mkono na UDP na TLP, na Wala tume na msajili hawakufanya hivyo tukawasikia wote Kama tunavyowasikia kwa ACT na CDM. Hata Kama hutaki kuamini itakulazimu tu uamini kuwa Kuna tatizo kwenye eneo hili la demokrasia.
 
Tumeccm hakuna mwenye Akili timamu anaweza kuwa na imani nayo
 
Siku TLP wana tangaza kumuunga mkono Magufuli Pole pole na mwakilishi wa ofisi ya msajili walikuwepo na mwakilishi akasema ni halali kabisa
 

Kama kuna barua waliyonayo ccm, tlp na udp kutoka Tume ya UCHAGUZI, itakuwa imeandikwa siku moja na iliyotumwa CHADEMA na ACT - WAZALENDO.

Kilichofanyika kwa barua ya ccm, tlp na udp iliandikwa tarehe nyuma (backdated) ili kuhalalisha UDHALIMU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…