Kwa misukosuko aliyopewa na jiwe,hana hamu na ujinga huo tenaNEC iwe makini na January makamba hakawii kuleta wachina wake
Sielewi mnavyowaza.mpaka nawashangaa sana.kwamba hamjui NEC na CCM Lao ni moja.Watendaji wote wa NEC ni rais anawateuwa,unatarajia wataendaje kinyume na mamlaka ya uteuzi wao.wako pale kwa ajili ya CCM.Unatarajia NEC waitendee haki na usawa chadema.jaribuni kuwaza tofauti.NEC iwe makini na January makamba hakawii kuleta wachina wake
Kwahiyo mnashiriki huku mmekwisha shindwa?Sielewi mnavyowaza.mpaka nawashangaa sana.kwamba hamjui NEC na CCM Lao ni moja.Watendaji wote wa NEC ni rais anawateuwa,unatarajia wataendaje kinyume na mamlaka ya uteuzi wao.wako pale kwa ajili ya CCM.Unatarajia NEC waitendee haki na usawa chadema.jaribuni kuwaza tofauti.
Kwa hiyo tunashiriki ,sisi Akina Nani.Magu ni mgombea na NEC ni yeye kawateuwa.hivi akiwaagiza au akiwapa maelekezo Cha kufanya kuna atakaebisha wakati ni bosi wako.kuna mazingira ambayo ata mtoto mdogo ukimweleza anakueleawa.NDIO MAANA KUNA MAHITAJI YA KATIBA MPYA.Kwahiyo mnashiriki huku mmekwisha shindwa?
Kwanini kila halmashauri isijitegemee kurusha ama kutangaza matokeo kwenye simu km wanavyo rusha matangazo yao ya halrmashauri.Tume ithibishe tuNaomba kuwapa angalizo tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) kuhusu wadukuzi wa matokeo ya kura zinapokuwa zinatumwa kwenu hapo makao makuu .
Kuna tetesi kwamba wapo baadhi ya watu wamejipanga Ku-tamper mfumo wa ukusanyaji matokeo kama ilivyotaka kufanyika 2015 na hatimaye wahalifu wale kukamatwa wakiwa na vifaa mbali mbali.
Ni jukumu lenu kuwa makini sana kwenye suala la kuwa na mabingwa wabobezi wa tehama.
Kulinda majumuisho ya kura ni kulinda amani na utulivu wa taifa
Una maanisha nini mkuu ?Kazi tuliisha anza tangu zamani sasa tunakwenda kumaliza October 29,30 ili tujipange zaidi na new generation of bots 2025.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kama huelewi kilichoandikwa ni bora kuficha ujinga wako kwa kukaa kimya
Nina wasiwasi na yule puppet aliekua ubelgiji,ndio maana akasema ataingia mtaani,utasemaje hivyo hata kura hazijapigwa?
Ni kweli mkuu,kwani Kura ipigwe Namanyere matokeo yakatangaziwe Dsm.Wasimamizi wa uchaguzi majimboni watangaze matokeo yote kuanzia udiwani,ubunge na urais halafu ndio yarushwe NEC makao makuu kwa MAJUMUISHO.ILI KUJENGA KUAMINIANA.Kwanini kila halmashauri isijitegemee kurusha ama kutangaza matokeo kwenye simu km wanavyo rusha matangazo yao ya halrmashauri.Tume ithibishe tu